Ulipouliza wote si tulimsikiliza Banza huyu huyu, ina maana wewe ulikuwa unajua kuna Banza wengine?Wapi haujaelewa Chief?
Kabisa, unaujua ule wimbo wa Safari? Aliukuta usharekodiwa wakati anarudi Twanga, akausikiliza na akaanza kuuweka sawa.Kweli yani yule brother alikuwa na kipaji cha aina yake aloo
Huyo ndio alikuwa fundi wa mafundi. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.Kabisa, unaujua ule wimbo wa Safari? Aliukuta usharekodiwa wakati anarudi Twanga, akausikiliza na akaanza kuuweka sawa.
Ikatoka bonge ya hit, hadi ikapewa jina la albamu. Kwenye Safari sauti ya Banza iko kwa uchache sana, ila kainyoosha.
Ova
Upo sahihiUlipouliza wote si tulimsikiliza Banza huyu huyu, ina maana wewe ulikuwa unajua kuna Banza wengine?
Halafu na hii ya kauli ya kipenda roho. Ni kama vile unashangaa mtu kupenda kitu ambacho kinaweza kuwa hakina sifa, so ulimaanisha nini hapa?
Ally kwenye aminata alilalama sanaaaAlly bado yupo... kwenye wimbo wa jirani ananifurahisha sana😂 kwamba akiomba kinu mpatie akiomba mchi mpatie
Kabisa, unaujua ule wimbo wa Safari? Aliukuta usharekodiwa wakati anarudi Twanga, akausikiliza na akaanza kuuweka sawa.
Ikatoka bonge ya hit, hadi ikapewa jina la albamu. Kwenye Safari sauti ya Banza iko kwa uchache sana, ila kainyoosha.
Ova
Mwinjuma yupi unamuongelea , mwinjuma ninayemfahamu ni mwanamziki wa dansi.Wewe utakuwa mpenzi wa taarab ndo maana unamkubali zaid mwinjuma, na nafikiri hasa ni kwa sauti yake na mipasho yake 😀😀
5. Mtaji wa masikini kwa kweli hii ngoma naikubali sana. inanikumbushwa hayati Ben mkapa.Vipi ndugu zangu.
Vitu vitamu kama hivi hapo chini ni vigumu sana kuvipata kwa msanii mungine yoyote zaidi ya marehem Banza Stone:
1. Kisa cha mpemba.
2. Mwenye kwenu kwaheri.
3. Mtu pesa.
4. Aungurumapo Simba.
5. Mtaji wa masikini.
6. Elimu ya mjinga ni majungu.
Ama kweli udongo unakula watu, sio vitu.
RIP Banza Stone mutoto ya mujini, acha tubaelezeye.
Kuna hotuba yake aliitoa akamalizia kwani mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe. sasa kuna pori linaitwa kasindaka liko sehemu inaitwa muleba kama unaelekea bukoba mjini. Humo kulikuwa na majambazi yanateka magari. siku wakateka gari halafu wakawa wanawaimbisha abiria mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe...Hayati Mkapa alifanyaje kwenye wimbo huu?
MIpasho ilikuwa sehemu ya mziki wa dansi labda kama mahaba Kwa banza stone yanakufanya uwe kipofu usione wa kusikia Kama kiziwi.Ndo huyo huyo ninaesema mimi mzee wa kulalama na sauti nyembamba, uku akirusha mipasho kwa adui zake.
Banza alikuwa mwamba haswaaHuwa nafurahi sana kuona Banza anapewa heshima yake stahiki, nimekuwa nikisema mara nyingi yeye ndiye msanii bora wa dansi wa muda wote hapa nchini.
Aendelee kupumzika kwa amani.
Muhasibu hapana nakataa, nyakati nyakati zimepita mkuu Muumini hajabadilika kitu ,Mwinjuma nilimkuta huku Mwanza anapiga live band. Nilisikitika sana kwa kipaji kama kile kukata mapema
Nimekuelewa sana mkuu. Nisahihishe maelezo yangu, nilimaanisha umaarufu kupotea. Ila kazi yake bado ni kali. Halafu kile ni kipaji halisiMuhasibu hapana nakataa, nyakati nyakati zimepita mkuu Muumini hajabadilika kitu ,
Tungo zake ni zile zile sauti yake ile ile ila nyakati hizi zinawataka kina
Oyoo oyooo yaah yaaah piga keleleeeee
Baasi nadhani umenielewa