Ali Choki na Muumin Mwinjuma walikuwa wasanii wazuri mno miaka ya 2000 lakini itoshe kusema kuwa Banza Stone alikuwa mwalimu wao

Ali Choki na Muumin Mwinjuma walikuwa wasanii wazuri mno miaka ya 2000 lakini itoshe kusema kuwa Banza Stone alikuwa mwalimu wao

Wapi haujaelewa Chief?
Ulipouliza wote si tulimsikiliza Banza huyu huyu, ina maana wewe ulikuwa unajua kuna Banza wengine?

Halafu na hii ya kauli ya kipenda roho. Ni kama vile unashangaa mtu kupenda kitu ambacho kinaweza kuwa hakina sifa, so ulimaanisha nini hapa?
 
Kabisa, unaujua ule wimbo wa Safari? Aliukuta usharekodiwa wakati anarudi Twanga, akausikiliza na akaanza kuuweka sawa.

Ikatoka bonge ya hit, hadi ikapewa jina la albamu. Kwenye Safari sauti ya Banza iko kwa uchache sana, ila kainyoosha.

Ova
Huyo ndio alikuwa fundi wa mafundi. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
 
Ulipouliza wote si tulimsikiliza Banza huyu huyu, ina maana wewe ulikuwa unajua kuna Banza wengine?

Halafu na hii ya kauli ya kipenda roho. Ni kama vile unashangaa mtu kupenda kitu ambacho kinaweza kuwa hakina sifa, so ulimaanisha nini hapa?
Upo sahihi
 
Kabisa, unaujua ule wimbo wa Safari? Aliukuta usharekodiwa wakati anarudi Twanga, akausikiliza na akaanza kuuweka sawa.

Ikatoka bonge ya hit, hadi ikapewa jina la albamu. Kwenye Safari sauti ya Banza iko kwa uchache sana, ila kainyoosha.

Ova
 
Attachments

Vipi ndugu zangu.

Vitu vitamu kama hivi hapo chini ni vigumu sana kuvipata kwa msanii mungine yoyote zaidi ya marehem Banza Stone:

1. Kisa cha mpemba.

2. Mwenye kwenu kwaheri.

3. Mtu pesa.

4. Aungurumapo Simba.

5. Mtaji wa masikini.

6. Elimu ya mjinga ni majungu.

Ama kweli udongo unakula watu, sio vitu.

RIP Banza Stone mutoto ya mujini, acha tubaelezeye.
5. Mtaji wa masikini kwa kweli hii ngoma naikubali sana. inanikumbushwa hayati Ben mkapa.
 
Hayati Mkapa alifanyaje kwenye wimbo huu?
Kuna hotuba yake aliitoa akamalizia kwani mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe. sasa kuna pori linaitwa kasindaka liko sehemu inaitwa muleba kama unaelekea bukoba mjini. Humo kulikuwa na majambazi yanateka magari. siku wakateka gari halafu wakawa wanawaimbisha abiria mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe...
kisha wakawambia mpelekeni salamu bwana ben kwamba yeye anaiba kwa kalamu sisi tunaiba kwa bunduki.
baada ya tukio hilo jeshi lilitimba na operesheni kali iliyowafutilia mbali
 
Ndo huyo huyo ninaesema mimi mzee wa kulalama na sauti nyembamba, uku akirusha mipasho kwa adui zake.
MIpasho ilikuwa sehemu ya mziki wa dansi labda kama mahaba Kwa banza stone yanakufanya uwe kipofu usione wa kusikia Kama kiziwi.

Choki walivyoingia na kijiko mango garden.Msanii wako pendwa asiyekuwa na mipasho hukusikia akihoji kwenye ngoma Fulani"kijiko tumekiona juzi kwenye starehe kijiko kimefikaje"?

Kaa sikiliza hizi fimbo uone fundi anavyosaund na vyombo tena Kwa ushairi uliojaa uzani wa kutosha
Tunda
Mgumba Part 1
Mjomba Njaa
Tunda Special
Manyanyaso Kazini
Shangingi La Karne
Kilio cha yatima
Mapendo
Paulina
Sosho zena
Kiu ya mapenzi
Zawadi Ya Watanzania
Ndugu Lawama
Mgumba Part 2
Mjumbe Cha Ugoni
 
Mwinjuma nilimkuta huku Mwanza anapiga live band. Nilisikitika sana kwa kipaji kama kile kukata mapema
Muhasibu hapana nakataa, nyakati nyakati zimepita mkuu Muumini hajabadilika kitu ,

Tungo zake ni zile zile sauti yake ile ile ila nyakati hizi zinawataka kina
Oyoo oyooo yaah yaaah piga keleleeeee

Baasi nadhani umenielewa
 
Nimekuelewa sana mkuu. Nisahihishe maelezo yangu, nilimaanisha umaarufu kupotea. Ila kazi yake bado ni kali. Halafu kile ni kipaji halisi
 
Back
Top Bottom