Ali Kamwe acha kubwatuka nonsense, nchi ina mambo mengi ya kufanya zaidi ya mpira

Ali Kamwe acha kubwatuka nonsense, nchi ina mambo mengi ya kufanya zaidi ya mpira

Ukitaka kuwa tawala watu wenye uwezo wa kawaida hakikisha unawapa mkate ili wasihisi njaa na michezo waburudike,hawata hoji lolote la maana ndani ya taifa lao.
 
Ukitaka kuwa tawala watu wenye uwezo wa kawaida hakikisha unawapa mkate ili wasihisi njaa na michezo waburudike,hawata hoji lolote la maana ndani ya taifa lao.
Ukihoji wewe inatosha hamna uliekuja nae duniani
 
Taifa letu ni masikini tufanye kazi kwa bidii ili kujenga nchi yetu.
Mipira ya siku za kazi ichezwe usiku.
 
Nimemsikia huyu kijana anayeitwa Ali Kamwe mfanyakazi wa Yanga anazisihi taasisi, kampuni na mashirika mbalimbali katika nchi ziruhusu wafanyakazi wao kutoka kazini mapema Jummane wakaishangilie timu ya Taifa.

Huu ni wendawazimu, nchi hii ina mambo mengine muhimu zaidi ya mpira, yaani Jumanne mtu akose huduma muhimu kisa mtu ameenda kuangalia mpira!
Povu la nini? Kama hutaki kauka tu!! Ali Kamwe hana kosa, amehamasisha tu
 
wote mbumbumbu kabisa kwa hisani ya mwenyekiti rage,
Wote manyani kwa hisani ya wazungu.
JINA:Chura
BABA:Nyani
UKOO:Utopolo.
Haya,saini hapo chini ukaungane na wenzako mkale ugali kwa sukari.😀😀😀
 
Dah!Matusi ya nini tena?Ila jina utopolo limewapendeza sana.
hata jina lenu kwa umoja linawapendeza sana, plural wekundu wa msimbazi, Singular Mkundu wa msimbazi. Ina maana wewe ulipo hapo ni mkundu wa msimbazi ila ukiwa na mbumbumbu wenzako ni wekundu wa msimbazi.
 
Nadhani kila mtu ana utashi wake katika kuchakata maswala mbalimbali. Mathalani hili, kwako T. Stars sio kipaumbele ila kwa wengine ni kipaumbele.
Timu ya Taifa inacheza siku hiyo moja tu, mbona kuna holidays, wafanyakazi wana emergency, ni sababu tosha kuwahi kutoka.
Msemaji hana kosa, anahamasisha na anaja wazi sio kampuni zote zitafanya hvyo na sio wafanyakazi wote wataenda uwanjani.
 
hata jina lenu kwa umoja linawapendeza sana, plural wekundu wa msimbazi, Singular Mkundu wa msimbazi. Ina maana wewe ulipo hapo ni mkundu wa msimbazi ila ukiwa na mbumbumbu wenzako ni wekundu wa msimbazi.
Upo sahihi sana isipokuwa nyuma kuna mwiko.
 
Back
Top Bottom