Ali Kamwe achaguliwa kuwa Afisa Habari wa Yanga

Ali Kamwe achaguliwa kuwa Afisa Habari wa Yanga

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Klabu ya Yanga imemteua Mchambuzi Ally Kamwe kuwa Afisa Habari mpya wa klabu hiyo huku Privaldinho Abiud akiteuliwa kuwa msimamizi Mkuu wa Digital (Digital Manager) kwa lengo la kusimamia platforms zote za habari za klabu hiyo.
1664302530809.png

1664302415116.png
 
Nimesikia kwenye Kipindi cha Michezo Cha Azam TV Cha MSHIKE MSHIKE kinachoruka hewani live muda huu Jumanne Saa tatu usiku, Mtangazaji ni Akida Kilango.
 
Makolo ikiwauma nendeni na nyie mkambebe Jemedari sura mbaya bila shaka atawafaa!
Ila ushabiki huu unatutoa akili sana, hivi kati ya simba na yanga nani aliyeanza kuajiri msemaji kutoka katika media

Yaani ulivyoiweka ni as if simba haina msemaji na yanga ndio wa kwanza kuajiri msemaji kutoka katika media
 
Nawapa hongera Yanga kwa kufikia hatua hii ya work ethics waliyofikia

Licha ya kwamba falsafa yao ya kuhitaji viongozi iliegemea zaidi kwenye kigezo cha uanachama ila angalau kipengele cha elimu walikipa kipaumbele.

Sina shaka na uwezo wa Ally Kamwe kwenye maswala ya habari hususani za kimichezo

Kwa mara ya kwanza kufungiwa kwa Manara kunakwenda kuinufaisha Yanga kwa kujipatia mtu sahihi wa kuhudumu kitengo cha habari.
 

Nimeleta Uzi humu kueleza kwanin wankimbilia ktk vilabu alfu mbna Kama all kappa sna Bora hat angepewa privadinnjo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Itabidi clubs nyingine waige,haijawahi kutokea team kuwa na afisa habari toka media
Pia kuwa na digital manager na app ya club
Yanga ni mfano wa kuigwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa Kati ya Yanga na Simba Nani kamuiga Mwenzake??
 
Back
Top Bottom