Ali Kamwe achaguliwa kuwa Afisa Habari wa Yanga

Ali Kamwe achaguliwa kuwa Afisa Habari wa Yanga

Hivi amechaguliwa au ameteuliwa?
Kiswahili kigumu. Huyu ameteuliwa! Ila cha kushangaza kuna watu wamehoji mpaka uanachama wake!!

Wamesahau uteuzi huangalia zaidi sifa kitaalam za mtu husika! na siyo uanchama wake.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Ahueni timu yetu imeondokana na kile kirusi kinachoitwa Hajji Sunday Manara. Kiukweli sikufurahiwa kabisa na uwepo wake pale Jangwani.

Maana alitukejeli na kututukana kila aina ya matusi, wakati akiwa ni msemaji wa timu yake ya mbumbumbu fc.
Haji yupo yupo sana Yanga kwani amewekwa hapo na GSM hakuna mwenye ubavu wa kuhoji uwepo wa takadini hapo Yanga. Mvumilieni tu ni mwanenu wa hiari huyo.
 
Haji yupo yupo sana Yanga kwani amewekwa hapo na GSM hakuna mwenye ubavu wa kuhoji uwepo wa takadini hapo Yanga. Mvumilieni tu ni mwanenu wa hiari huyo.
Muhimu anatimiza majukumu yake aliyopewa na huyo mwajiri wake GSM, yakiwemo yale ya kuwakera! Hakuna shida kwa upande wangu.
 
Back
Top Bottom