Ali Kamwe: Shabiki wa Yanga paka Bleach kichwani na kwenye Ndevu "PACOME DAY"

Bacca day ulikuwa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii siku itakuwa hatari
 
Hivi Manara akipaka bleach atakuwa na muonekano gani?Blondy au?
 
Hivi Manara akipaka bleach atakuwa na muonekano gani?Blondy au?
Albino automatically wanakuwa na nywele nyeupe

Sema yeye muda wote ana kipara
 
Mi ni Yanga wa damu lakini siwezi kupaka bleach kichwani kwani tayari mvi zangu za asili ni zaid ya bleach.
 
Ila bana watu mnajua kuyachukulia mambo serious sana aisee. ๐Ÿ˜‚

Cc. Swahiba Mgagaa na Upwa njoo uone watu walivyo na makasiriko.
 
pakeni breach mtembezewe mkongo

tulikubaliana akiwa na breach au tatoo vaa ndom tatu
 
Hauna hoja, umejaa chini dhidi ya wageni kama Mzulu.

Mohammed Baka mechi na Am Ahaly alikuwa Baka day watu wavae misuli.

Mimi sipo kupinga wageni au kuleta ubaguzi, Bali Kapinga huu utoto wa Ally Kamwe, kocha alishaukataa ni wapi Ally Kamwe anapata kiburi hiki? Je Eng Hersi anashabikia pia upuuzi huu? Kuna shida gani kwenye haya majina ya Ally?

Ona Ally Kamwe, Ahmed Ally wote wametoka Azam media na ni wapuuzi watupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ