Ali Kiba aizungumzia Wasafi Bet, asema yeye hana mpango wa kufungua kampuni ya betting kwa sababu dini yake hairuhusu, hajajua kuhusu dini ya Diamond

Alikiba huwa haimbi matusi!Nyimbo zake unasikiliza na wazazi wako bila shida yoyote!
Kasikilize ule wimbo aliyoimba na nandy alafu pia anglia hiyo video niambie dini ipi hiyo inaruhusu hivyo kiufupi hiyo video inatakiwa ifungiwe na basata ukiachana na hivyo kiba kazaa na wanawake watatu nje ya ndoa je Hili dini yake inaruhusu?
 
Kasikilize ule wimbo aliyoimba na nandy alafu pia anglia hiyo video niambie dini ipi hiyo inaruhusu hivyo kiufupi hiyo video inatakiwa ifungiwe na basata ukiachana na hivyo kiba kazaa na wanawake watatu nje ya ndoa je Hili dini yake inaruhusu?
Ulitakaje Sasa?Wewe ukisema huwezi kula kitimoto kwasababu dini Yako hairuhusu,hiyo haina maana wewe ni msafi Kwa kila kitu na kwamba unatekeleza Kwa 100% yale dini inachokuta ufanye na usifanye!
Je,ni kweli dini yake inakataza kamari?Kama ni kweli basi ana haki ya kufanya hivyo!
 
Kiba hapo kaongea kwa kuona wivu kauli ipo kama vile yeye ni mtakatifu
 
Great minds discuss issues; petty minds discuss personality.
~Ambofyifye Kimaro ~
 
Alivyokuwa zuzu akiulizwa maswali kuhusu mambo ya mwenzake ilitakiwa ajue ni trick za waandishi wa habari ili kupata attention yq watu yeye anajibu,wakati ilitakiwa aseme hana cha kusema,kifupi anatumika kibwege na media
Wewe mjanja una nini?[emoji23][emoji23] Kama sio kushindia maboflo
 
Msanii wa muziki wa Bongo fleva Ali Kiba alisema hayo alipoulizwa kama na yeye ana mpango wa kufungua kampuni ya betting kama msanii mwenzake.
View attachment 2039826
Huu ujinga huu,kila Hawa vijana wa Kiislam kitu wasichokiweza watasema dini hairuhusu,unafiki mtupu,dini yenu hata mziki hairuhusu lakini mbona mnaimba,kale ka dada ka wasafi kalisema hakawezi kufanya tangazo la bia kwa sababu dini hairuhusu,sasa mbona kanafanya mabaya zaidi ambayo dini hiyo hairuhusu,kuvaa uchi,kuimba,kukata mauno,
Aende Zenj kwao aone wadsda wanavyopiga mabaibuhi wakati wote,hata nywele hqzionekani,wakati yeye kakumbatia usasa,anaacha Makario nje!hapo dini inaruhusu!!!
Unafiki mtupu.
 
Kivipi hata akifungua utasema kaiga jaribu kueshimu mtazamo wa mtu bhana hata kama uumpendi
Sababu za kitoto sana katoa,kwa hapo alipofika inabidi awe na uelewa mpana,huo uislam wake hata kuimba hairuhusu,rejea mambo ya Mzee Yusuf,aliacha mziki kwa sababu ya dini,na akatoa sababu ambazo hakuna muislam anaweza kupinga,lakini njaa ilipobana akarudi Tena kwenye mziki!!
Suma ree naye siku hizi ni shekh aliacha mziki kwa sababu ya dini.
Kiba kusema hawezi kufanya kitu kwa sbabu ya dini ni unafiki,aseme hana mpango,amewekeza kwingine,asijifiche kwenye dini,maana hata anachokifanya sasa hv,dini yake hairuhusu.
 
Ally bhana, anajionaga smart sana...Mziki na uislam wapi na wapi, aache bhac kuimba.
Aaache we unafkiri hamuoni hakunaga anavyohaha nakujikaza wakat yule was vdole juu akisanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…