Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Alikiba huwa haimbi matusi!Nyimbo zake unasikiliza na wazazi wako bila shida yoyote!maneno ya mkosaji, anasingizia dini kwa mziki ndo inaruhusu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikiba huwa haimbi matusi!Nyimbo zake unasikiliza na wazazi wako bila shida yoyote!maneno ya mkosaji, anasingizia dini kwa mziki ndo inaruhusu?
Kasikilize ule wimbo aliyoimba na nandy alafu pia anglia hiyo video niambie dini ipi hiyo inaruhusu hivyo kiufupi hiyo video inatakiwa ifungiwe na basata ukiachana na hivyo kiba kazaa na wanawake watatu nje ya ndoa je Hili dini yake inaruhusu?Alikiba huwa haimbi matusi!Nyimbo zake unasikiliza na wazazi wako bila shida yoyote!
Tuanzie hapaKwahyo Ali Kiba anaimba kaswida?
Ulitakaje Sasa?Wewe ukisema huwezi kula kitimoto kwasababu dini Yako hairuhusu,hiyo haina maana wewe ni msafi Kwa kila kitu na kwamba unatekeleza Kwa 100% yale dini inachokuta ufanye na usifanye!Kasikilize ule wimbo aliyoimba na nandy alafu pia anglia hiyo video niambie dini ipi hiyo inaruhusu hivyo kiufupi hiyo video inatakiwa ifungiwe na basata ukiachana na hivyo kiba kazaa na wanawake watatu nje ya ndoa je Hili dini yake inaruhusu?
Kama Umesoma dini sana utajua vyote havikuwahi kuruhusiwa wala kuwahi kutumika na Mtume ni watu wamejiibuliaN aya gani katika Qur'an imekataza mziki?
Qaswida dufu sio mziki ule?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kiba hapo kaongea kwa kuona wivu kauli ipo kama vile yeye ni mtakatifuUlitakaje Sasa?Wewe ukisema huwezi kula kitimoto kwasababu dini Yako hairuhusu,hiyo haina maana wewe ni msafi Kwa kila kitu na kwamba unatekeleza Kwa 100% yale dini inachokuta ufanye na usifanye!
Je,ni kweli dini yake inakataza kamari?Kama ni kweli basi ana haki ya kufanya hivyo!
Ukiwa kilaza huwezi jua alipokoseaWe ndio bwege, kwani kujibu hivyo amekosea wapi
Kabwili weweUkiwa kilaza huwezi jua alipokosea
Uwenda anaimba kaswida?Ally bhana, anajionaga smart sana...Mziki na uislam wapi na wapi, aache bhac kuimba.
Wewe mjanja una nini?[emoji23][emoji23] Kama sio kushindia mabofloAlivyokuwa zuzu akiulizwa maswali kuhusu mambo ya mwenzake ilitakiwa ajue ni trick za waandishi wa habari ili kupata attention yq watu yeye anajibu,wakati ilitakiwa aseme hana cha kusema,kifupi anatumika kibwege na media
Huu ujinga huu,kila Hawa vijana wa Kiislam kitu wasichokiweza watasema dini hairuhusu,unafiki mtupu,dini yenu hata mziki hairuhusu lakini mbona mnaimba,kale ka dada ka wasafi kalisema hakawezi kufanya tangazo la bia kwa sababu dini hairuhusu,sasa mbona kanafanya mabaya zaidi ambayo dini hiyo hairuhusu,kuvaa uchi,kuimba,kukata mauno,Msanii wa muziki wa Bongo fleva Ali Kiba alisema hayo alipoulizwa kama na yeye ana mpango wa kufungua kampuni ya betting kama msanii mwenzake.
View attachment 2039826
Sababu za kitoto sana katoa,kwa hapo alipofika inabidi awe na uelewa mpana,huo uislam wake hata kuimba hairuhusu,rejea mambo ya Mzee Yusuf,aliacha mziki kwa sababu ya dini,na akatoa sababu ambazo hakuna muislam anaweza kupinga,lakini njaa ilipobana akarudi Tena kwenye mziki!!Kivipi hata akifungua utasema kaiga jaribu kueshimu mtazamo wa mtu bhana hata kama uumpendi
Aaache we unafkiri hamuoni hakunaga anavyohaha nakujikaza wakat yule was vdole juu akisandaAlly bhana, anajionaga smart sana...Mziki na uislam wapi na wapi, aache bhac kuimba.
Jamaa anajionaga mzee wa busara hatari😄😄
Muulize dini yake inaruhusu muziki? Inaruhusu mwanaume kuwa na tabia za kike?Msanii wa muziki wa Bongo fleva Ali Kiba alisema hayo alipoulizwa kama na yeye ana mpango wa kufungua kampuni ya betting kama msanii mwenzake.
View attachment 2039826