Ali Kiba ana cha kujifunza kwa Wizkid na Diamond, sanaa sio uadui

Ali Kiba ana cha kujifunza kwa Wizkid na Diamond, sanaa sio uadui

Kwa hiyo kibamia ni mkubwa kuliko wizkid ndio maana anaringa tamasha limetazamwa afrika zima vyombo vikubwa vimelilipoti .eti nataka mafanikio yang binafsi ache undez
Mngejaribu tu kufatilia maelezo aliyoyatoa juzi kwenye press yake amesema wazi kuwa anapongeza achievements za diamond ila hawezi kushiriki tamasha lake kwasababu na yeye muda huu ana anachiements zake anakimbizana nazo.

Kwa mfano Burna boi akija kupanda jukwaa la Fiesta Grand Finale pia ni lazima Diamond naye akiitwa akubali kwenda kwasababu tu kuna msanii mkuwa wa Nigeria kwenye hilo jukwaa la Fiesta?
 
Ebu elezea na neno UNIKOME..MWANAUME HAAMBIWI MARA MBILI...

Ina maana kama nilikualika mwaka juzi na ulikuwa bize basi na mwaka huu nilitakiwa kuchukulia uko bize nisikualike? Kiba kachemka sana. Kama ana achievements zingine muda huu kulikuwa na njia nzuri tu ya kusema niko bize kidogo.
Katika hili WINNER ni DIAMOND.
 
Mondi alisema hata Alikiba aje maana haya mabifu bifu yanauwa muziki wala hakumsema kiubaya.

Sasa kiba100 alivyo na eagle akaandika majungu hajawahi pata likes na comments nyingi vile babaako wewe
kama comment zimetoka kwa mond sawa.

unadhani follower 4mln wa waliisha wote mpaka akaenda kuchukua wa mond waje wacoment??
 
Amtumie Mondi walau apate pesa. Anakoelekea ni karibu zaidi y atokako n bado hasomeki.
Mondi hujishusha ila yeye anajiona baba lao.
pesa shingapi mzee??

usione kakusanya wakongwe kwenye show ya jana na kuwajaza pesa,ukadhani kila mtu ni wa level hizo za millio 10.
 
watu ni wana tengeneza pesa pesa pesa...

washatengeneza kitu inaitwa "the After" yani wanataka wahakikishe....

watu wanakwanguliwa mpk pesa yao ya mwisho...

SALLAM "kichwa sana" yani anajua kutumia Fursa huyu kijana doooh...

Diamond ndio ataacha kuwa na pesa acheni nyieeeeee...

Kuna team inawaza pesa nyuma ya Diamond acheni kabisaaaa...
 
Back
Top Bottom