barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Mondi na kiba wamewahi gombana?Diamond na wizkid wamewahi kugombana?
Wee jamaa utakuwa ni mtamgazaji wa clouds..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mondi na kiba wamewahi gombana?Diamond na wizkid wamewahi kugombana?
Mngejaribu tu kufatilia maelezo aliyoyatoa juzi kwenye press yake amesema wazi kuwa anapongeza achievements za diamond ila hawezi kushiriki tamasha lake kwasababu na yeye muda huu ana anachiements zake anakimbizana nazo.Kwa hiyo kibamia ni mkubwa kuliko wizkid ndio maana anaringa tamasha limetazamwa afrika zima vyombo vikubwa vimelilipoti .eti nataka mafanikio yang binafsi ache undez
Mondi akipata mualiko, nafikiri anaweza enda.Utakuta mwenye mawazo haya ya mleta mada muda huo-huo atakupinga sana ukimchomekea kuwa Diamond naye akapande jukwaa la Fiesta grand finale hapo Dar
Ebu elezea na neno UNIKOME..MWANAUME HAAMBIWI MARA MBILI...Mngejaribu tu kufatilia maelezo aliyoyatoa juzi kwenye press yake amesema wazi kuwa anapongeza achievements za diamond ila hawezi kushiriki tamasha lake kwasababu na yeye muda huu ana anachiements zake anakimbizana nazo.
Kwa mfano Burna boi akija kupanda jukwaa la Fiesta Grand Finale pia ni lazima Diamond naye akiitwa akubali kwenda kwasababu tu kuna msanii mkuwa wa Nigeria kwenye hilo jukwaa la Fiesta?
Eagle=tai ndegeMondi alisema hata Alikiba aje maana haya mabifu bifu yanauwa muziki wala hakumsema kiubaya.
Sasa kiba100 alivyo na eagle akaandika majungu hajawahi pata likes na comments nyingi vile babaako wewe
kama comment zimetoka kwa mond sawa.Mondi alisema hata Alikiba aje maana haya mabifu bifu yanauwa muziki wala hakumsema kiubaya.
Sasa kiba100 alivyo na eagle akaandika majungu hajawahi pata likes na comments nyingi vile babaako wewe
[emoji23][emoji23][emoji23]Akili fupi inataka kiki. Akili ndefu inataka pesa
sawa.Diamond ni msanii mkubwa wa Africa na sio Tanzania pekee na anamashariki wa Africa
Eagle=tai ndege
pesa shingapi mzee??Amtumie Mondi walau apate pesa. Anakoelekea ni karibu zaidi y atokako n bado hasomeki.
Mondi hujishusha ila yeye anajiona baba lao.
Wakumbushe kwamba alienda wakati ule alipokuja Davido na ilikuwa kama surprise. Hivyo Mondi kwenda ku perform Fiesta sio jambo geniMondi akipata mualiko, nafikiri anaweza enda.
Jamaa ni down to earth.
Bado hujamsaidia.Eagle=tai ndege
watu ni wana tengeneza pesa pesa pesa...
Mondi na kiba wamewahi gombana?
Wee jamaa utakuwa ni mtamgazaji wa clouds..