Mtu akikuita mjinga nawe una uhakika sii mjinga anahangaika nae wa nini.Tuna kubaliana nae yuko sawa
[emoji81][emoji81]ila Christians wanafiki sana yani hawana mambo mengi wana kukubalia tu bila.kelele ila ingekua upande wa pili ingekua fujo apo
Kijana inakuwaje huelewi ninacho kiandika kiasi hiki ? Wewe ndiyo ulisema kimetungwa mimi nimekuomba uthibitishe unaruka ruka. Mimi nimekwambia naamini hakijatungwa na kipo sahihi, sasa wewe unaekanusha ndiyo uthibitishe.Swali lako limebase kwenye aya. Aya ambazo tumeletewa kwenye kitabu ambacho sina uhakika wowote na mtu aliyeziandika. Sasa unataka mimi nizitumie hizo aya kukujibu swali ili hali sina uhakika na aliyeziandika kama kweli aliakua anatekeleza maagizo ya Mungu?
Umesema "unajua hakijatungwa". Unajuaje hakijatungwa?
Mimi sio muislamu, nnatakiwa kukichunguza kitabu chako kabla sijaupokea huo uislamu.
Utanishawishi vipi niwe muislamu bila kunipa uthibitisho kwamba kitabu chako ni maagizo ya Mungu?
Unategemea mtu anipe kitabu aseme ni maagizo ya mungu na mimi nisimuwekee shaka hicho kitabu hakijatungwa?
Sasa nathibitisha vipi kitabu ambacho kimetungwa na watu wengine?Kijana inakuwaje huelewi ninacho kiandika kiasi hiki ? Wewe ndiyo ulisema kimetungwa mimi nimekuomba uthibitishe unaruka ruka. Mimi nimekwambia naamini hakijatungwa na kipo sahihi, sasa wewe unaekanusha ndiyo uthibitishe.
Hakuna aliyekwambia utumie, au umesahau ulichokiandika awali ?
Ndugu hawa watu wana upofu wa ajabu sana!Kwanini mtu anatakiwa kuitamka shahada ili awe muislamu kama tayari amezaliwa muislamu ?
Hili swali limekaa kiu kilaza sana!yupo sahihi.Kwanin mnabatiza mtoto kazaliwa kwa mama mkristo baba mkristo kwann abatizwe ?
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Swali langu ni kuwa umejuaje kama kimetungwa ? Usikwepe swali, unaposema kitu fulani kipo hivi maana yake una kijua kiundani. Sasa umeshindwa unatakiwa ukiri au ukiri ya kuwa umesikia kwa watu na wewe huwezi kuthibitisha hilo.Sasa nathibitisha vipi kitabu ambacho kimetungwa na watu wengine?
Yani mwarabu atunge kitabu mimi nithibitishe kama katunga au kakiokota?
Mimi nawezaje kuthibitisha kama quran ilitungwa au iliokotwa ?
Usiwe mjinga kiasi hiki kijana, mfano Big Bang ina mantiki gani na ina uthibitisho gani au The Black Hole au Quantum Physics ina mantiki gani na ina uthibitisho gani au Infinity Series ina mantiki gani na ina uthibitisho gani au The Universal Gravitational Force ina mantiki gani na ina uthibitisho gani ?Kwenye sayansi kuna mantiki na kuna kuthibitisha.
Ndiyo utuonyeshe hilo hitimisho limefikiwa vipi ? Na utaje hatua za kimantiki ulizo fata. Sababu mimi elimu ya Mantiki nimesoma na ninajua udhaifu wa elimu hii, hasa udhaifu wake upo katika hitimisho na si mantiki tu bali mpaka hiyo Sayansi nayo ina tatizo hilo hilo.Quran kutungwa ni hitimisho lenye mantiki.
Huu ujinga mwingine halafu unataka ujadili hii mada. Kwani wewe unazijuaje na unazihakiki vipi habari za miaka 200 au 300 iliyo pita ?Unaposema nithibitishe ni sawa na kuniambia nirudi na wewe kwenye mashine ya muda nikakuoneshe kipindi wanaitunga kuran
Kwa hiyo wewe mmatumbi babu yako alikuwa Mwarabu Ibrahim?Acha chuki za kijinga huo ndio ukweli wenyewe kila Mtu huzaliwa akiwa Muislam ila wazazi ndio humfanya awe mnaswala au majusi.
Hizo habari za eti dini walituletea wageni Ni za kijinga Sana na hazina mantiki.
Babu yetu Nabii Ibrahimu ..alikuja kwa meli au nn.
Atakuwa kasema tu lakini hoja hatakuwa nayo.Mkristo akisema vice versa kuwa kila mtu anazaliwa mkristo utasikia wanaandamana
Kuran ni maandishi kwenye kitabu.Swali langu ni kuwa umejuaje kama kimetungwa ? Usikwepe swali, unaposema kitu fulani kipo hivi maana yake una kijua kiundani. Sasa umeshindwa unatakiwa ukiri au ukiri ya kuwa umesikia kwa watu na wewe huwezi kuthibitisha hilo.
Sasa kwanini umesema kimetungwa huku unajua fika huwezi kuthibitisha ?
Usiwe mjinga kiasi hiki kijana, mfano Big Bang ina mantiki gani na ina uthibitisho gani au The Black Hole au Quantum Physics ina mantiki gani na ina uthibitisho gani au Infinity Series ina mantiki gani na ina uthibitisho gani au The Universal Gravitational Force ina mantiki gani na ina uthibitisho gani ?
Inaonekana huijui Sayansi bali unaishabikia Sayansi.
Ndiyo utuonyeshe hilo hitimisho limefikiwa vipi ? Na utaje hatua za kimantiki ulizo fata. Sababu mimi elimu ya Mantiki nimesoma na ninajua udhaifu wa elimu hii, hasa udhaifu wake upo katika hitimisho na si mantiki tu bali mpaka hiyo Sayansi nayo ina tatizo hilo hilo.
Huu ujinga mwingine halafu unataka ujadili hii mada. Kwani wewe unazijuaje na unazihakiki vipi habari za miaka 200 au 300 iliyo pita ?
Au mfano mwepesi ni wewe umejuaje kama Newton aliwahi kuishi au Plato au Aristosto au Socrates au George Washington ? Ulipotaka kuwajua ulirudi nyuma au unaropoka ropoka tu ? Hili ndiyo tatizo la kujadiliana na wajinga na hawajui kama hawajui.
mimi sio muislam ila unaposema analingania din yake je mbona yeye alikiba anaimba music hivi hujui katika din yake ni haramu??!!🙄🙄🙄 na kuvaa suti nako vp??! Coz suti ni christians kabisaa na hata ijumaa yake haendi msikitin sasa nalingania nin??sisi wakristo ukiona mtu anakuhubiria ujue nayeye kaacha mambo mengi , na hata hivyo huyo munalove inasemekana alikuwa muislam sasa kilichomleta ukristo ni nini??? Kazi kwakoAnalingania dini yake jambo ambalo ni jema, naona wengine wanaona kuwa anakosea sijui public figure sijui brand aah hapana maana naye bado ni muumini ana wajibu wa kuutimiza kwa anayemuabudu wa kueneza ukweli kwa wasioujua ili waufahamu hana woga na ni jambo zuri
Ila kwa aliyosema ndiyo siyo sahihi uislamu japo unanasibishwa sijui na Ibrahimu kupitia Ishmael lakini ni dini iliyoibuka miaka ya 610 hivi wakati huo tayari ukristo ulishakuwepo zamani sana uislamu ni dini ya juzi tu kupitia kwa Muhammad ndiyo maana hata katika hoja mbalimbali zinapowatatiza allah kupitia wahyi wake kwa Muhammad aliwaambia wawaulize watu waliokuwa na kitabu kabla yao ambao ni wakristo
( فَإِن كُنتَ فِي شَكٍّ مِّمَّا أَنزَلْنَا إِلَيْكَ فَاسْأَلِ الَّذِينَ يَقْرَءُونَ الْكِتَابَ مِن قَبْلِكَ ۚ لَقَدْ جَاءَكَ الْحَقُّ مِن رَّبِّكَ فَلَا تَكُونَنَّ مِنَ الْمُمْتَرِينَ )
يونس (94) Yunus
Na ikiwa unayo shaka katika tuliyo kuteremshia, basi waulize wasomao Kitabu kabla yako. Kwa yakini imekwisha kujia Haki kutoka kwa Mola wako Mlezi. Basi usiwe miongoni mwa wenye shaka.
Kwa hiyo quran yake inawtambua watu waumini walikuwepo kabla ya uislamu tena wenye kitabu ambao wanapaswa wawafundishe waislamu wakipata utata juu ya hoja. Kwa hiyo nadharia ni uongo
Usiulize swali la kitoto, jibu swali nililo kuuliza.Kuran ni maandishi kwenye kitabu.
Maandishi kwenye vitabu huwa yanatokea wapi?
Elimu hawana unategemea nini !?Tatizo itaathiri biashara yake
Hawa vijana need to be taught issues za public speaking
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahJuzi tu nilienda mtwara,wakati narudi gari iliharibika somanga nikamuomba kijana mmoja anioneshe guest house akanipeleka akaomba hela nikampa,akaniuliza jina nikamtajia(si halisi)akafurahi sana na kusema kumbe ni muislam mwenzake kisa jina la hassan!nikabaki nashangaa jinsi watu walivyotekwa na udini!
kwani muislam ana hoja?Atakuwa kasema tu lakini hoja hatakuwa nayo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aibu nimeona mie, km huna hoja uwe unakaa kmya tyuuh lolHatujawahi kushindwa kuthibitisha humu ndani zaidi ya nyinyi wakanushaji kukimbia na kubisha bila hoja.
Mimi nakuuliza swali moja tu, unataka uthibitishiwe mara ngapi juu ya uwepo Allah ? Humu tushafanya hilo na mwisho wa siku mnakimbia vivuli vyenu.
Hapa nakuthibitishia ya kuwa Allah yupo.
34. Basi nawalete masimulizi kama haya ikiwa wao wanasema kweli.
35. Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji?
36. Au wao wameziumba mbingu na ardhi? Bali hawana na yakini. (at-Turi : 34-36)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo kisai hana hoja anapovukwa tyuuh bureee.Sasa mr. Kisai, umetupa baadhi ya aya toka kwenye kitabu kilichotungwa na binadamu toka nje ya nchi yetu wakidai mungu kasema nini.
Hicho kitabu ni madai ya binadamu kuwa mungu kasema nini.
Tofautisha madai na uthibitisho mr. Kisai
true true, na Mungu hawezi kuwatahiri mwneyewe kwasababu mwenyewe hayupoKama Mungu kaagiza kuwa kwa myahudi safi wa kiume lazima awe ametahiriwa, kwanini basi huyu myahudi asizaliwe bila govi, iwapo akizaliwa tu anakuwa myahudi?
Hao waislamu kwanini quran wasiweke kwa lugha rahisi ili wote waisome na kuielewa? Wanaficha nn? Wakristo biblia yao iko wazi.[emoji848] Hii imekaaje sasa, Wakristo wengi hawajui chochote kuhusu Quran, ila waislamu wengi wapo vizuri kuhusu biblia, tena wanaijuwa biblia vizuri kuliko wakristo wenyewe.
N.B. Mimi nipo pande zote.
Huna hoja bora ukae kimya, unajidhalilisha tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ongeza umakini, mimi najua hakijatungwa, wewe unaye dai kwamba kimetungwa ndiyo unatakiwa uthibitishe ya kuwa kimetungwa.
Mimi wajibu wangu ni kukuthibitishia ya hicho hakijatungwa na mwanadamu, sababu naamini hilo.
Sasa usipoteze muda kukwepa swali, lakini kingine najiuliza ni kwamba nilicho kiandika hujakielewa au hauko makini na kile unachokiandika mwenyewe.