Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

Kiba yupo sawa kweli ndio.kwani maana ya ubatizo si ndio unakuwa mkiristo kamili au hujui ???? Muulize mchungaji wako basi atakuambia. Kwani ww hujui hadi leo kama ukiristo sio dini???
 
Jifunze tena .eti uislamu ulikuja baada ya mtume muhammad swalahullahu alaih wasalam.uislamu upo tangia kwa nabii adamu .mtume wa kwanza wa ulimwengu.au unadhani nabii adamu alikuwa msabato au mkatoliki?????
 
Moja ya kauli za kijinga ambazo nasikia kutapika nikimsikia mtu anasema hivi alafu anajiona kaongea point kali sana.
 
( لَا شَرِيكَ لَهُ ۖ وَبِذَٰلِكَ أُمِرْتُ وَأَنَا أَوَّلُ الْمُسْلِمِينَ )

الأنعام (163) Al-An'aam

Hana mshirika wake. Na hayo ndiyo niliyo amrishwa, na mimi ni wa kwanza wa Waislamu

Muhammad ndiyo wa kwanza kwa mujibu wa quran
 
Moja ya kauli za kijinga ambazo nasikia kutapika nikimsikia mtu anasema hivi alafu anajiona kaongea point kali sana.
Vipi na mimi nikiutangazia uma kwamba kwasababu tumeumbwa na Zahanary, basi kila mtu kazaliwa amfuate Zahanary. Kwamba yeyote ambaye anamkana Zahanary ni kafiri na anafata dini zisizo sahihi hivyo ataenda motoni. Unahisi ntakua sahihi pia?
 
Ww kijana akili yako ni ndogo sana hata ukiambiwa kitu wala hutakuwa huamini utaona kama ni porojo!! Unajua kwamba mtume muhammad swalahulllahu alaih wasalam jina lake ndio la kwanza kuandikwa mlango wa peponi kabla hata hajaumbwa na Allah.??? Sasa hapo hiyo aya ina tatizo gani ????????????

Tatizo lako unasoma tafsiri alafu unakuja kuleta hoja bila kujua hiyo aya ilikuwaje ikateremshwa.hizo aya za quran zilikuwa zinashuka kutokana na visa

Sasa nyie mnasoma aya moja mnakuja kusema quran ina contradiction.ndio nyie mnatusumbua kwa kukifanya wajuaji
 
Umezungumza upumbavu wa kiwango cha flyover
 
Umezungumza point kubwa sana mkuu.
Agizia Pepsi baridi nakuja kulipa.
Hawa watu ambao hawataki kusoma ndio shida yao hiyo. Mtu anakuja na aya yake moja tu halafu anakuja kuanzisha mada na hata hajui chanzo cha hiyo aya
 
Leta aya kuthibitisha maana mimi nimetoa Muhammad anasema ktk uislamu yeye ndiyo wa kwanza sasa wewe mpinge halafu utupe aya kuwa yeye ndiyo wa kwanza peponi halafu mimi nitakupa anakanusha kuwa hajui hatma yake wala ya wale wafuasi wake
 
Kama ni kweli umeielewa ile aya tunakuomba uifafanue kwa undani.
Yeye Muhammad S.A.W ni wa kwanza ktk uislam kwa jambo lipi?
Hapa hatuwezi kuleta ushahidi mpaka ufafanue.
Kwa sababu ni kweli yapo mambo ktk uislamu ambayo Muhammad S.A.W ni wa kwanza kuyafanya na ni mengi tu
 
V
Vipi na mimi nikiutangazia uma kwamba kwasababu tumeumbwa na Zahanary, basi kila mtu kazaliwa amfuate Zahanary. Kwamba yeyote ambaye anamkana Zahanary ni kafiri na anafata dini zisizo sahihi hivyo ataenda motoni. Unahisi ntakua sahihi pia?
Ukija na ushahidi sahihi na ukaweza kujibu maswali yetu kwa usahihi japo kwa 50% basi mimi binafsi nitakubali
 
Quran haipo kimya

( قُلْ أَغَيْرَ اللَّهِ أَتَّخِذُ وَلِيًّا فَاطِرِ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَهُوَ يُطْعِمُ وَلَا يُطْعَمُ ۗ قُلْ إِنِّي أُمِرْتُ أَنْ أَكُونَ أَوَّلَ مَنْ أَسْلَمَ ۖ وَلَا تَكُونَنَّ مِنَ الْمُشْرِكِينَ )

الأنعام (14) Al-An'aam

Sema: Je, nimchukue rafiki mlinzi asiye kuwa Mwenyezi Mungu, ambaye ndiye Muumba mbingu na ardhi, naye ndiye anaye lisha wala halishwi? Sema: Mimi nimeamrishwa niwe wa kwanza wa wenye kusilimu. Na wala kabisa usiwe miongoni wa washirikina.

Kwa kuwa ndiye wa kwanza kusilimu kuonyesha hapo awali hakuwa muislamu na ndiye sasa anasema yeye ndiyo muislamu wa kwanza na mwanzilishi wa uislamu ambao haijawahi kuwepo kabla yake
 
Ukija na ushahidi sahihi na ukaweza kujibu maswali yetu kwa usahihi japo kwa 50% basi mimi binafsi nitakubali
Hakuna mwenye ushahidi kwenye imani. Si mimi, si wewe na si Alikiba.
Hivyo, si sahihi kuongea chochote tu kwenye imani yako ili hali huwezi kuthibitisha.
 
Hujajibu swali langu, swali langu ni kuwa uthibitishe ya kuwa Qur'aan imetungwa, yaani umejuaje kama imetungwa.

Kutokujibu kwako swali hili, kunathibitisha ya kuwa uliropoka au ulisikia kwa watu na kwa ujinga wako hukufanya utafiti.

Kingine si kila kitu kinathibitshwa Maabara. Kijana inaonekana huu mjadala umeudandia na hujui unachokijadili.
 
Siwezi kuthibitisha quran imetungwa,imetoholewa au imeokotwa. Hakuna njia ya kuthibitisha hili. Si maabara na si popote pale.
.
Nimejuaje kama imetungwa?
Ni kitabu kile, kwani vitabu hua vinapatikana vipi kwa ufahamu wako.
 
Siwezi kuthibitisha quran imetungwa,imetoholewa au imeokotwa. Hakuna njia ya kuthibitisha hili. Si maabara na si popote pale.
Sasa kwanini ulisema imetungwa na huwezi kuthibitisha ? Huoni kama wewe ni mjinga wa kutupwa ?
 
Huh!
Usiulize swali la kitoto, si kila kinachoandikwa kimetungwa kijana.

Inaonekana huijui Qur'aan.
Kwamba ni maagizo ya mungu na hivyo hakijatungwa.
We huoni hii ni imani yako.
Mimi ambaye sina imani kama yako huwezi niambia hayo ni maagizo ya mungu.
Lazima nikione kitabu kilichotungwa kwasababu sina imani ya kiislamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…