Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

Nikajua una hona ya kuonyesha wapi sijathibitisha. Ndiyo maana huwa nasema hivi nyie akili hamna.

Onyesha wapi sijathibitisha, ndiyo maana nakuuliza kila siku uthibitishiwe mara ngapi ?

Ushahidi huo uzuri uko wazi na haukwepeki kwa namna yoyote ile, ukikaa kimya umeshindwa kukanusha na ukijibu hutoki nje ya maswali hayo.

Siku nyingine uwe mkweli, usiseme kwamba tumeshindwa kuthibitisha sema umekataa ithibati.

Sasa mimi nakupa kazi uthibitishe ya kuwa Allah hayupo.
Hoja yako kuhusu kuthibitisha Mungu kwa kutumia vitabu nataka niijibu lakini nafikiria itakuwa ni content ndefu kuiweka kama comment na itatia uvivu wengi kuweza kuisoma

Nataka nianzishe thread ya mada hiyo ambapo humo itawarahisishia watu wengi kuweza kui access kirahisi
 
🤔 Hii imekaaje sasa, Wakristo wengi hawajui chochote kuhusu Quran, ila waislamu wengi wapo vizuri kuhusu biblia, tena wanaijuwa biblia vizuri kuliko wakristo wenyewe.

N.B. Mimi nipo pande zote.
 
Sasa mr. Kisai, umetupa baadhi ya aya toka kwenye kitabu kilichotungwa na binadamu toka nje ya nchi yetu wakidai mungu kasema nini.
Hicho kitabu ni madai ya binadamu kuwa mungu kasema nini.
Tofautisha madai na uthibitisho mr. Kisai
Kwanza nithibitishie ya kuwa hicho kitabu kimetungwa na binadamu, katika kujibu kwako utaona ya kuwa unachokiandika ni uongo.

Pili, hakuna madai hapo kama umesoma kilichokiandikwa na kukitafakari. Labda nikuulize swali hapo madai yako wapi katika hizo aya. Ukinionyesha hayo madai naacha kujadiliana kwenye hii mada.
 
Hoja yako kuhusu kuthibitisha Mungu kwa kutumia vitabu nataka niijibu lakini nafikiria itakuwa ni content ndefu kuiweka kama comment na itatia uvivu wengi kuweza kuisoma

Nataka nianzishe thread ya mada hiyo ambapo humo itawarahisishia watu wengi kuweza kui access kirahisi
Uje uwe umejipanga vilivyo siyo unakimbia maswali na utakachokiandika hakikisha unakijua vizuri.

Kisha namalizia kwa hili jambo :
Screenshot_20220221_134952.jpg
 
Kwanza nithibitishie ya kuwa hicho kitabu kimetungwa na binadamu, katika kujibu kwako utaona ya kuwa unachokiandika ni uongo.

Pili, hakuna madai hapo kama umesoma kilichokiandikwa na kukitafakari. Labda nikuulize swali hapo madai yako wapi katika hizo aya. Ukinionyesha hayo madai naacha kujadiliana kwenye hii mada.
Yani mimi nipo Tanzania, anakuja mtu na kitabu anasema ni maneno ya Mungu, badala ya yeye aliyeniletea kitabu athibitishe hayo madai yake ili niamini maneno ya mule hayajatungwa, wewe unaniambia mimi niliyeletewa hicho kitabu nithibitishe kuwa aliyeniletea kitabu hajakitunga na madai yake kwamba mungu ni mmoja (Allah) ni ya kweli.
Yani kati ya mimi na yule anayeniletea kitabu na kutaka nikiamini ni yupi sasa wa kumthibitishia mwenzie?
Hivi ni sawa mimi nikuletee Baghavad Gita kisha nikwambie uthibitishe kama kweli yale ni maneno ya Krishna?
Unaona ntakua namake sense kweli?
 
Binadamu anazaliwa akiwa na IMANI tu hizo mambo za DINI na MUNGU ni vitu vinavyotokana na mawazo, mtazamo na akili za mwanadamu ndio maana duniani kuna dini na miungu tofauti kulingana na mazingira ya huyo binadamu katika kutafasiri UZURI na UBAYA(good & wrong)
 
Yani mimi nipo Tanzania, anakuja mtu na kitabu anasema ni maneno ya Mungu, badala ya yeye aliyeniletea kitabu athibitishe hayo madai yake ili niamini maneno ya mule hayajatungwa, wewe unaniambia mimi niliyeletewa hicho kitabu nithibitishe kuwa aliyeniletea kitabu hajakitunga na madai yake kwamba mungu ni mmoja (Allah) ni ya kweli.
Yani kati ya mimi na yule anayeniletea kitabu na kutaka nikiamini ni yupi sasa wa kumthibitishia mwenzie?
Hivi ni sawa mimi nikuletee Baghavad Gita kisha nikwambie uthibitishe kama kweli yale ni maneno ya Krishna?
Unaona ntakua namake sense kweli?
Ongeza umakini, mimi najua hakijatungwa, wewe unaye dai kwamba kimetungwa ndiyo unatakiwa uthibitishe ya kuwa kimetungwa.

Mimi wajibu wangu ni kukuthibitishia ya hicho hakijatungwa na mwanadamu, sababu naamini hilo.

Sasa usipoteze muda kukwepa swali, lakini kingine najiuliza ni kwamba nilicho kiandika hujakielewa au hauko makini na kile unachokiandika mwenyewe.
 
Swali lako limebase kwenye aya. Aya ambazo tumeletewa kwenye kitabu ambacho sina uhakika wowote na mtu aliyeziandika. Sasa unataka mimi nizitumie hizo aya kukujibu swali ili hali sina uhakika na aliyeziandika kama kweli aliakua anatekeleza maagizo ya Mungu?

Umesema "unajua hakijatungwa". Unajuaje hakijatungwa?
Mimi sio muislamu, nnatakiwa kukichunguza kitabu chako kabla sijaupokea huo uislamu.
Utanishawishi vipi niwe muislamu bila kunipa uthibitisho kwamba kitabu chako ni maagizo ya Mungu?
Unategemea mtu anipe kitabu aseme ni maagizo ya mungu na mimi nisimuwekee shaka hicho kitabu hakijatungwa?
 
Waamini dini za kuja na merikebu wana viroja kweli haswa pale wanapo taka eti wewe usie amini ndio uthibitishe porojo zao 😂😂😂
 
kiba hajakosea
Kama imani yako inafundisha usipomuabudu Zahanary una matatizo ya akili. Hutakiwi kuwatangazia wengine kuwa wana matatizo ya akili sababu tu hawamuabudu Zahanary.
Inabidi uangalie nini uanaandika kwa uma( uchuje).
 
Ikiwa ameamini katika uislam na uislam wenyewe unasema hivyo sioni ubaya kwa kauli yake.
Na ameenda mbali kidogo kwa kutoa mfano hai ili ujumbe umfikie mlengwa wake na hasa hiyo jamii inayomtazama, as long as anaamini akisemacho hakina shaka juu yake hata kama utawagusa watu kwa namna tofauti tofauti.
 
Back
Top Bottom