Tetesi: Ali Kiba aongeza single mother, demu amkimbia Dar baada ya kukwepa majukumu

Tetesi: Ali Kiba aongeza single mother, demu amkimbia Dar baada ya kukwepa majukumu

Hilo bomu analotengeneza litamgharimu uzeeni. Aombe Mungu amchukue mapema tu
 
Aliachwa sporah na mtoto sembuse uyo mkenya acheni kiba ajaze dunia
Alee tu ka ma wenzie
 
Hongera Kiba kwa
1. kutekeleza kauli ya Rais ya kufyatua tu.
2. kutekeleza kauli ya Tanzania ya viwanda maana hapo tayari una kiwanda kimoja ..(rejea kauli ya vyerehani 4 kiwanda kimoja ) kwa hapo unabaki na mmoja wa salio kwaajili ya kumtuma uzi na vitambaa.
 
Ndio mswahili org huyo afu akiulizwa kwanini hana mafanikio anasema eti ni DUA inafanya kazi yake.ELIMU ELIMU ELIMU
 
Ila wanawake hawanaga akili utazaaje ovyo....ukipata mwanaume basi unajiachia kisa msanii mmmhhhhh
 
Kidume cha mbegu, watoto ni wake na ni yeye atawalisha, malazi na kusoma, sisi tunalalamika nini?! Poa tu hasa kwenye dunia hii inayotaka kujaza mashoga..
 
Huyu nae aache kuzini ... Anaozini nao lazima awamimbe kasoro jokate nae sijui alikuwa anavaa kondomu za kike ama vp
Wanawake wengi akilizao fupi ....utazaaje ovyo ovyo kisa umetongozwa na msanii na kaja kwenye shoo, unajiachiaaaa then unakuja kulalamika. Polen sana wanawake mnaozaa na wasanii au ukimuona anaela unaachia [HASHTAG]#uwazi[/HASHTAG] na [HASHTAG]#Kasheshe[/HASHTAG] linaingia then [HASHTAG]#Dimba[/HASHTAG] linafugwa miez9 unakuja kulalama
 
Back
Top Bottom