Ali Kiba atambulisha rasmi label yake(Kingmusic) aachia nyimbo mpya "SINA".

Ali Kiba atambulisha rasmi label yake(Kingmusic) aachia nyimbo mpya "SINA".

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Msanii nguli nchini Tanzania Alike a maarufu KingKiba ametambulisha rasmi lebal yake ya King Music kwa kuachia nyimbo mpya ya pamoja akiwa na wasanii wake. Enjoy
 
Msanii nguli nchini Tanzania Alike a maarufu KingKiba ametambulisha rasmi lebal yake ya King Music kwa kuachia nyimbo mpya ya pamoja akiwa na wasanii wake. Enjoy

wimbo mzuri nimeupenda
 
kati ya huu na hela huu mzuri kiukweli
 
Huyu Ali Kiba aliimba zamani sio sasa hawezi hata kujua mahitaji ya soko la muziki.

Kwa sasa Ali Kiba ni msaani mbovu kuliko hata Pipi.

Wimbo kama huo unaimba ili uonekane bado unaimba au!
Alikiba anapenda na anaziwezea vizuri nyimbo zenye vionjo vya bolingo Kama huu shida no kwamba nyimbo za hivi kwasasa hazina wateja sokoni Kama ilivyotokea kwa wimbo wa mvumo wa radio
Ila wimbo sio mbaya ni mzuri tu
 
Hahahaha utapewa za mbavu na wale ma team chapati .
Huyu Ali Kiba aliimba zamani sio sasa hawezi hata kujua mahitaji ya soko la muziki.

Kwa sasa Ali Kiba ni msaani mbovu kuliko hata Pipi.

Wimbo kama huo unaimba ili uonekane bado unaimba au!
 
Kusema ukweli wimbo ni mzuri na melody nzuri. Ali anajua kuimba ila likija swala la team ndio kila kitu kinaharibika maana hata kama kitu kizuri inabidi kionekane kibaya.

Diamond anajua kucheza na maneno akichanganya na matusi kidogo ambayo watu wanapenda hapo ndio wanakuwa hoi kabisaaaaaaaa

All in all wote ni wasanii wazuri ila Diamond anajuhudi na anajua kuteka watu maana ashagundua wanapenda nini
 
Mimi ni shabiki wa kiba ila jamaa anazingua sikuhizi, Kiba ajipange aisee, Juzi yeye mwenyewe aliifuta "Hela" baada ya kuona dislikes kibao na comments zenye hasira kutoka kwa mashabiki kwasababu ya kazi mbovu, Tulitegemea ataleta jiwe ila sijaona cha ajabu mana kwenye hii kazi hata nuh mziwanda angefaa
 
Back
Top Bottom