Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii story ya ushindani kwa wachaga ni kawaida sana.Mkuu alikiba namuonea huruma sana naomba niwanufaishe na wengine kwa USHAURI HUU,kwenye level ya familia yangu ninachakumjuza huyu bwana ,tukiwa kwetu marangu tulizaliwa watoto 4 wa familia moja tukiwa wadogo tulianza biashara ndogo ndogo wenzangu walikuwa na hulka ya kushindana sana ,mimi nilijitenga na ushindani huo kabisa leo hii mimi namaisha ya kawaida mazuri nyumba mbili tatu vigari vya kutembelea na tulodge ,sasa wenzangu wako so active ,so competitive wote ni matajiri sana wana misemi kibao maghorofa uchafu ,lakini nimewazidi kitu kimoja na wanakili AMANI YA MOYO,wote kwanza hawaongei kabisa wao kwa wao na hata wake zao wamerithi wanaendeana hadi kwa waganga ,wote walevi wa kutupwa na wawili wanavisukari ,wote wananipenda sana na huwa hawamalizi mwezi huja kulala na wake zao kwangu ,ila wao kwa wao hawakaribishani na husemana vibaya sana ,imerithi hata watoto wao ni wa hivyo hivyo walevi na wakorofi ,mimi namaisha ya kushinda kanisani na kushukuru kwa kidogo kinachonitosha nina amani sana...SOMO maishani usikubali kuwekwa kwenye trap ya kushindana mbio ni kweli utaweza fika mbali ila utakuwa restless maisha yote maana daima wakukuzidi atakuwepo pangilia unataka ufike wapi kadiria spidi iendee ndoto yako .UTAKUWA NA AMANI ...Haka kawimbo hakafai hata kuimbwa na beka flavor ni kakawaida sana imagine presha anayoipata kiba akipita mitaa ya Dar kila mahali jibebebebe
Marungu unaijua vizuri mkuu,hakuna uislamu aseeHii story ya ushindani kwa wachaga ni kawaida sana.
Anyway, mmojawapo wa kaka zako ni yule aliyeoa msilamu nini?
Basi bosi watu hufanana kuna jamaa yupo hapo mbezi beach na yy story zinafanana na hii.Marungu unaijua vizuri mkuu,hakuna uislamu asee
Upumbavu eti ndio nyimbo kwendraaaKazi nzuri vijana, endeleeni kuleta vitu vizuri zaidi.
Kuna vijana wanachuki za ajabu hadi unashangaa. Wasanii mbalimbali wanatoa nyimbo kila siku, baadhi nzuri nyingine mbaya, lakini huwezi kuona comment za chuki kama Kiba anapotoa nyimbo zake
Kwanini matusi, huwezi kutoa maoni yako bila kutumia lugha ya kuudhi?Upumbavu eti ndio nyimbo kwendraaa
Habadiliki aiseeeHuyu Ali Kiba aliimba zamani sio sasa hawezi hata kujua mahitaji ya soko la muziki.
Kwa sasa Ali Kiba ni msaani mbovu kuliko hata Pipi.
Wimbo kama huo unaimba ili uonekane bado unaimba au!
Haha et Nuh mziwandausiumie mkuu ndio uwezo umeishia hapo
DuhAli Kiba kama anataka afanye muziki wa kipekee basi atafute muziki wa pekee yake sio huu wa ushindani, atajikuta anakimbia mbio ambazo hawezi.
Sijawahi kupenda wimbo wa Ali Kiba mbali na Karim, kama unajua vyema na una sikio la kusikiliza utagundua Ali Kiba ni mzuri sana kwenye Rumba/Zuku tena akiimba kwa sauti original sio hii ya Yooooooo!
Sikiliza kwenye wimbo wa Karim kuna baadhi ya maneno Ali alikuwa anapachika kwa sauti yake halisi na kufanya ule wimbo kuwa mzuri kwangu sijajua kwa wengine.
Ali hawezi kuimba bongofleva siku zote atapuyanga anabana sauti akijua ndio ataimba vizuri kumbe utumbo tu.
Producer wake amshauri jamaa ajikite kwenye rumba au Zuku na aimbe kwa uhalisia wa sauti yake sio kulialia yoooo kama Mbuzi jike anataka kupandwa.
Huyu jamaa,nyimbo yake niliyoipenda ni Cinderella,dushelele,nakshi nakshi,zingine zote huwa naona hamna kitu,Msanii nguli nchini Tanzania Alike a maarufu KingKiba ametambulisha rasmi lebal yake ya King Music kwa kuachia nyimbo mpya ya pamoja akiwa na wasanii wake. Enjoy
Naona kama wote wana sound kama Kiba
Msanii nguli nchini Tanzania Alike a maarufu KingKiba ametambulisha rasmi lebal yake ya King Music kwa kuachia nyimbo mpya ya pamoja akiwa na wasanii wake. Enjoy
Hapana wote wameoa wakristo na wachaga wenzetuHii story ya ushindani kwa wachaga ni kawaida sana.
Anyway, mmojawapo wa kaka zako ni yule aliyeoa msilamu nini?
Wewe no wakupigwa makofi