wimbo mzuri nimeupendaMsanii nguli nchini Tanzania Alike a maarufu KingKiba ametambulisha rasmi lebal yake ya King Music kwa kuachia nyimbo mpya ya pamoja akiwa na wasanii wake. Enjoy
Ukisha angalia hurudiiNyimbo mbovu sana
Alikiba anapenda na anaziwezea vizuri nyimbo zenye vionjo vya bolingo Kama huu shida no kwamba nyimbo za hivi kwasasa hazina wateja sokoni Kama ilivyotokea kwa wimbo wa mvumo wa radioHuyu Ali Kiba aliimba zamani sio sasa hawezi hata kujua mahitaji ya soko la muziki.
Kwa sasa Ali Kiba ni msaani mbovu kuliko hata Pipi.
Wimbo kama huo unaimba ili uonekane bado unaimba au!
Huyu Ali Kiba aliimba zamani sio sasa hawezi hata kujua mahitaji ya soko la muziki.
Kwa sasa Ali Kiba ni msaani mbovu kuliko hata Pipi.
Wimbo kama huo unaimba ili uonekane bado unaimba au!