Ali Kiba atambulisha rasmi label yake(Kingmusic) aachia nyimbo mpya "SINA".

Maudhui ya hiyo video ni kwamba hao wavulana warusha vidole na wabana pua wenye nguo za rangi rangi za ki-gay ndiyo wanatongozwa na demu kwa jinsi walivyo warembo.
 
Audio kama kawaida hajawahi kuniangusha jamaa
Good music
Video imeakisi alichoimba
Good video
 
Hela haikuwa rasmi ni kwa ajili ya dancer wake aliekufa
 
Hebu mleteni nimwandie nyimbo Huyu kiba maana sasa anazidi kutudhalilisha mashabiki zake
 
stori ya uongo hii
 
Kiba bora angefocus kwenye mengine tu!mziki kwa sasa ushamtupa!!!
Usaniii ndo umemtupa but mziki haujamtupa...tatizo la baadhi ya watu mnaleta u team sana kwenye kila kitu...any way wimbo ni wakawaida sana sio mzuri sana wala mbaya sana
 
hicho ndicho mashabiki wake walikuwa wanasubiri kwa muda mrefu ?
 
Wimbo wa kawaida sana. Kwanza mbayaaaa
 
Binadamu hatukosi chuki, mbaya unapo mchukia mtu hata hakujui , kila mtu afanye akipendacho , ili mradi havunji katiba ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…