Ali Kiba atambulisha rasmi label yake(Kingmusic) aachia nyimbo mpya "SINA".

Hii story ya ushindani kwa wachaga ni kawaida sana.
Anyway, mmojawapo wa kaka zako ni yule aliyeoa msilamu nini?
 
Kazi nzuri vijana, endeleeni kuleta vitu vizuri zaidi.

Kuna vijana wanachuki za ajabu hadi unashangaa. Wasanii mbalimbali wanatoa nyimbo kila siku, baadhi nzuri nyingine mbaya, lakini huwezi kuona comment za chuki kama Kiba anapotoa nyimbo zake
 
Upumbavu eti ndio nyimbo kwendraaa
 
Upumbavu eti ndio nyimbo kwendraaa
Kwanini matusi, huwezi kutoa maoni yako bila kutumia lugha ya kuudhi?

"Nyimbo" ndiyo nini? Umesoma kiswahili kweli wewe shuleni?

Kama kitu hujakipenda, unataka kulazimisha kila mmoja asikipende?
 
Kwa wimbo huu naona hata Harmonize nae kamuacha mbali kiba. Bora hata mack muga kuliko hii nyimbo
 
Duh
 
Msanii nguli nchini Tanzania Alike a maarufu KingKiba ametambulisha rasmi lebal yake ya King Music kwa kuachia nyimbo mpya ya pamoja akiwa na wasanii wake. Enjoy
Huyu jamaa,nyimbo yake niliyoipenda ni Cinderella,dushelele,nakshi nakshi,zingine zote huwa naona hamna kitu,
 
Bila ushabiki nyimbo nzur
Video safi
Location nzur
W
Wasanii wote wako poa kama ww unaweza katoe yako tuone
 
Naona kama wote wana sound kama Kiba

Yaani sauti za hawa bongo fleva ni kama ile ile. Ukisikiliza audio huwezi kujua yupi ni yupi!
Tuleteeni sauti tofauti jamani. Hii moja sasa inaboa..
 
music ni sawa na fashion ni muhimu kuzingatia muda. Hata mababu zetu walitembea uchi zama zilizopita,
 
Msanii nguli nchini Tanzania Alike a maarufu KingKiba ametambulisha rasmi lebal yake ya King Music kwa kuachia nyimbo mpya ya pamoja akiwa na wasanii wake. Enjoy
Ameachia NYIMBO Mpya au Wimbo Mpya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…