Jaman samahani nmeshindwa kuelewa lengo na nia ya hii kitu iliyoandaliwa na huyu mffalme introduction tu ya hii kitu naona hata hanivutii nmeamua kuzma Tv naomba mtanijuza kilichojiri
Naona jamaa anashindwa kujieleza nia na lengo ya press conference yake anajing`atang`ata tu
Haya mambo yana wenyewe
Yeye na Mange wote sawa kuongea mbele ya camera shida.Kiba miti yote inateleza..
Cloudz imemtelezea
Mke wake ameteleza
Meneja wake 7 Mosha,ameteleza
Mashabiki wameteleza
Mange ametelezaa
Interview imemtelezea
Hata na nyimbo zinautelezi
Coastal Union nayo imeteleza
Sema tu hapendi showoffs:hata kwenye kuteleza
Mange aliniangusha sana...hajiwezi kabisa. Afadhali hata lema.Yeye na Mange wote sawa kuongea mbele ya camera shida.
Sasa huyu Kiba ambaye ana miaka 16 hadi sasa kwenye mziki ila bado ana uoga wa kuongea mbele ya camera na kujieleza vizuri nako shida ni jambo ambalo limenishangaza kweli leo.Mange aliniangusha sana...hajiwezi kabisa. Afadhali hata lema.
Harmonize kamuacha mbalí sana kiba kwenye kuzungumza.Sasa huyu Kiba ambaye ana miaka 16 hadi sasa kwenye mziki ila bado ana uoga wa kuongea mbele ya camera na kujieleza vizuri nako shida ni jambo ambalo limenishangaza kweli leo.
Huyu kiba we.muweke booth ndio utajua shughuli yake ila kuongea ongea hawezWatu wengi wapo vizuri sana kwenye kuandika lakini linapokuja suala la kuzungumza tena mbele ya hadhira inakua shida sana....
Go Kiba, kelele za walalahoi zisikuumize kichwa.
Tunaoumia ni sisi mashabikiDah! Watz tunashida kubwa sana aisee! Chuki tuliyoijaza mioyoni mwetu sijui kama itakuja kwisha..
Muacheni kijana wa watu afanye anachoweza, uwezo wake umemfikisha hapo, nyie mnaojua kujieleza mbele ya kamera fanyeni yenu kwa nafasi yenu, kwa nini chuki?
Kama hutaki kumsikiliza zima tv yako au badili chaneli sio lazima jamani! Ifike wakati kila mmoja afuate biashara yake, stop hating! Its wont bring u any good
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu..yaani otimbi otimbilio kwa kweli haeleweki..
Ila we jamaa bana
Jamaa anajua sana. Ila ajifunze kuuingiza mziki wake sokoni uwe bidhaa na yeye awe brandNimesikiliza wimbo mpya wa alikiba unaitwa mshumaa, kwa kweli huu wimbo jamaa anairudisha bongofleva kwenye ramani. Hakuna unaijeria wala ukongo humo ladha ya bongo tu katambaa nayo.
Yes umeongea point sana, kiba kuna mahali anakosea. Huu wimbo mzuri sana lakini hata kwenye press yake hajagusia kuwa anatoa wimbo mpya leo. Inabidi awe na marketing strategies nzuriJamaa anajua sana. Ila ajifunze kuuingiza mziki wake sokoni uwe bidhaa na yeye awe brand
Hahaha aya katoto kazuriUnajua Diamond timu yake inawazungu na walio mamanager wanajitambua sasa Ali Dah anajitawala na ni mbulula .
Hajitambui kwanza mwogope mwanaume anayetetea familua yake.
Nakumuacha mkewe
Huu ni upupu