Bado haijathibitishwa kuwa hyo nyumba ni ya huyo mwanamke au lah, ila kitendo cha kupanga na kudanganya kuwa mjengo ni wake ni fedheha na aibu tosha, ametuaibisha team kiba, mimi nashindwa ata kumtetea
Of course alishaanza kutoka povu, ila jamani mi comments za watu zinanivunja mbavu lol!
msijali atahamia kwa wema sepetu
Siku nyingine usivamie chakula kabla aujanawa. JF ni kubwa sana.
Nipo JF toka 2008...Tatizo hakuna tusi jipya. .....wanajaza server tu ya JF
Mhh ikoje ???
Nipo JF toka 2008...Tatizo hakuna tusi jipya. .....wanajaza server tu ya JF
Ipo jirani na kiboko yake.
Punguza bei basi, mpangaji ana buku tu #ndoroboWadau veeeeepe,. mwenye uhitaji wa nyumba ya kupanga dar, gongo la mboto maeneo ya mzambarauni 70000 kwa mwezi kuna vyumba 2 na sebule wahi fastaaaaaaaaaaaaaa
Atalala clouds mikocheni
Sijaona ulipotukanwa, umekimbia mafuriko ya facts. Kama vipi turudi kwenye facts tumalize mchezo ama nenee!
atalalia tuzo zake
Facts zipi? Naona hakuna lolote la maana zaidi ya maneno ya kizushi. ....mi nishamaliza kwa leo
Women empowerment wanawake wakiamua wanaweza.....