Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

Bado haijathibitishwa kuwa hyo nyumba ni ya huyo mwanamke au lah, ila kitendo cha kupanga na kudanganya kuwa mjengo ni wake ni fedheha na aibu tosha, ametuaibisha team kiba, mimi nashindwa ata kumtetea


msijali atahamia kwa wema sepetu
 
Of course alishaanza kutoka povu, ila jamani mi comments za watu zinanivunja mbavu lol!

Jf ni raha tupu huu uzi una vituko kuna mtu kaweka tangazo la nyumba ya kupangisha daa nimecheka sana.....
 
Yani management ya Alikiba ingetumia huu mwanya kupiga pesa ingekuwa vizuri sana....
 
Sijaona ulipotukanwa, umekimbia mafuriko ya facts. Kama vipi turudi kwenye facts tumalize mchezo ama nenee!

Facts zipi? Naona hakuna lolote la maana zaidi ya maneno ya kizushi. ....mi nishamaliza kwa leo
 
Facts zipi? Naona hakuna lolote la maana zaidi ya maneno ya kizushi. ....mi nishamaliza kwa leo

Mkuu ukiweza kuthibitisha pasi shaka hiyo nyumba ni ya unaye muita frank basi nitajitoa Jf....
 
Matusi yote haya na kejeli anazotupiwa kiba ndiyo uzalendo mnaoulilia?

$tupid vote vote for davido,
 
Back
Top Bottom