tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Huyo mwanamke(mchumba ake)(wifi) huyu hapa
View attachment 263148
Hahaha sasa unabisha frank ni msingi penenge.. Kaachika + kafeli, life ya kuuza sura si mchezo bado kidogo angeolewa.
Lile gorofa sio lake?Teh Teh jamaa ana jaribu kupaka rangi upepo wakati swala la kiba kupewa nyumba na huyo dada halikuanza leo!
Ha ha ha ha mmmhNdio queen wa king we2 sura kma kakutana na baba mkwe lodge
Lukelo sakafu atakua nayo....mi namba nlipoteza nlirenew lineHahaaaa najitolea kirikuu y kumuhamisha mana najua anabegi tu la nguo n tuzo 6......ntumie namba yke
Kapungukiwa elf 20 ya kumalizia swimming pool ndo ahamieHaaaa alisema anajenga likatupiwa picha la mansion kubwa ya Kiba sasa ndio nashangaa miaka kama miwili au mitatu imepita kumbe yuko kwenye nyumba ya mtu.. Au zile zilikua mbwembweee
Aah kwani UK panatisha mama? Ni uamuzi tu ufanye maisha yako wapi. .......Frank hajamtimua kiba. ....ningeandika mengi lkn sitaki kuwa msemaji wao
Kapungukiwa elf 20 ya kumalizia swimming pool ndo ahamie
Anamalizia swimming pool ndo ahamieHongera zake. Basi akaishi huko!
Ndio queen wa king we2 sura kma kakutana na baba mkwe lodge
Ha ha ha upi?Ugomvi tuuu
Haaaa alisema anajenga likatupiwa picha la mansion kubwa ya Kiba sasa ndio nashangaa miaka kama miwili au mitatu imepita kumbe yuko kwenye nyumba ya mtu.. Au zile zilikua mbwembweee
Kapungukiwa elf 20 ya kumalizia swimming pool ndo ahamie
Why should I care?
[Kama ni kweli] dume zima utaishije kwenye nyumba ya mchuchu?
Na kusema kweli jinsia wala haijalishi sana. Ila mtu na shughuli zako kwa nini uishi kwenye nyumba ya mtu?
Kwa nini usitafute kwako tu ukaishi kwa amani bila hofu ya kuja kutimuliwa siku moja.....
Anamalizia swimming pool ndo ahamie
Mjini ujanja .....halafu we humjui Frank, naona una hate tuu. ....Frank kuondoka bongo 2003 na karudi UK kimoja mwaka jana. .......ameshakua traffic manager hapo clouds. ...ana nyumba kunduchi(ambayo we hutaki kuwa ni yake... Lol).....anaishi na familia yake London. .....kama kufeli maisha ndio huko embu nawe tupe muhtasari wa maisha yako.
Bado haijathibitishwa kuwa hyo nyumba ni ya huyo mwanamke au lah, ila kitendo cha kupanga na kudanganya kuwa mjengo ni wake ni fedheha na aibu tosha, ametuaibisha team kiba, mimi nashindwa ata kumtetea
Bado haijathibitishwa kuwa hyo nyumba ni ya huyo mwanamke au lah, ila kitendo cha kupanga na kudanganya kuwa mjengo ni wake ni fedheha na aibu tosha, ametuaibisha team kiba, mimi nashindwa ata kumtetea
Sawa mkuu... Ila muulize vizuri usiyofahamu kama ishu ya kulelewa +kuachika, huyo watu wanamjua toka anashiriki urembo.