Ali Kiba: Diamond Platnumz unikome, Nikuweke uchi watu wajue unayonifanyia?

Mbona kila mahali naona alichojibu kiba ila alichosema mondi sioni
 
Kiba mganga Hana mashairi. Piga kazi Kiki za kijinga hazitakufikisha mbali. Ben Paul alikuonya ukaji mwambafy.
 
Inawezekana Diamond ana matatizo mengi pengine hatuyajui na kuna tunayo yajua.. Lakini hadi sasa ina shangaza sana Alikiba kumjibu namna ile!

Alikiba ni msanii mwenye kiwango kikubwa sana cha ujinga hadi ana pitiliza sasa!

Hivi nini kosa la Diamond kwenye kutoa mualiko kwa Alikiba?

Alikiba kwakweli lazima tukubali amechanganyikiwa kabisa...Diamond kila akitafuta amani nae inakuwa ni kosa!

Alikiba anajiliza sana tena sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…