Ali Kiba: Diamond Platnumz unikome, Nikuweke uchi watu wajue unayonifanyia?

mashabiki wa Chemical hasa wimbo wake wa #Najisikia.....😀😀😀😀
 
Ujinga Ni Pale Anae Jiita Mwanaume Anapo Ongea Kwa Mafumbo Mbele Ya Wanaume.

Mwanaume Kamili Huwa Haongei Kwa Kuficha Ficha Maneno, Kama Kuna Lolote Anaona Haliko Sawa Atumbue Jipu Maisha Yaendelee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Team domo naona wameumia sana na haya maneno ya Kiba, kwani Wasafi Festival ndio tamasha kubwa sana bongo? Asipopiga wasafi atapiga Fiesta keki ni kubwa mbona kila mtu atakula tu.
Waumie sababu ya maumivu aliyonayo mswahili kibakuli duh
 
Hivi diamond malaika?y msjiulize ata sku moja kuw jmaa nae vp??mavko katoka,harmonize katoka,alkiba leo kasema hv,nyie hamuoni jmaa atkua na mattzo yake pia?eeh??
 
Mimi hili neno 'UNIKOME' tu...!

Dahh... Kweli kabisa ni Kiba huyu!??

Mwanaume kabisa...aseme 'UNIKOME'..!! kuna shida mahali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…