Kwa kweli, mi nimemfagilia kiba, domo alichomfanyia konde unyonyaji,, kujifanya kusaidia kumbe zuga, ningekuwa dar naona ningempa mineno ya shombo kiba, man maji nimemzoea toka yupo huku, bado underground.[emoji23][emoji23][emoji23] Team domo naona wameumia sana na haya maneno ya Kiba, kwani Wasafi Festival ndio tamasha kubwa sana bongo? Asipopiga wasafi atapiga Fiesta keki ni kubwa mbona kila mtu atakula tu.
Sema kiki kivingine... Ila si Kiba kuperform..[emoji23][emoji23][emoji23]....watanzania kweli akili hawana..hii bifu imepangwa kiba atapanda stejini kama kawa na atapafomu tena na live band....zingine ni kiki 2 za kulipaisha tamasha..wajinga endeleeni 2 kutoleana mapovu!
Kulichajisha bifuKiki. Nimejiuliza hapa Kwa kina. Kiba hawezi kumtag Diamond.. Never..
Huu mchezo umepangwa.
Kiba is the King hahitaji kiki, kijana wa Tandale anajipendekeza.
Labda atakuwa ni mfalme wake.Ilo taji la uking amempa nani?
Mashabiki wakeIlo taji la uking amempa nani?
Hawa jamaa wanateka akili za watu tu[emoji23][emoji23]imagineView attachment 1249327
kamjibu kistaarabu kabisa
tena kapiga picha na pembe za ng'ombe badala ya Ferrari yake mpya
King Kiba hapendi showoffs za mjini
Kiba is the King hahitaji kiki, kijana wa Tandale anajipendekeza.
Wale mnaojiita sijui ma'inspirational, motivational na saikolojist msaidieni huyu mswahili mwezangu nadhani atakuja kujinyonga.Anaumwa ugonjwa wa ngozi ona suraView attachment 1249094
Whaatt...!![emoji23][emoji23]imagineView attachment 1249327
Umeitoa wapi hii mkuu?[emoji23][emoji23]imagineView attachment 1249327
Kiba hatak kujibuzana na wavaa VIKUKU (MASHOGA)Huyu nae kaanza mipasho.