Ali Kiba Fans' Special Thread...

jamani teamukwelinauwazi wamem ripoti akafungiwa nini?mimi sijamuona leo jamani nimekasirika hatariiii...au kaniblock nini?lakini mimi hua sicomment zaidi ya kusoma tu,eti geniveros

sijajua ngoja niende ig
 
Last edited by a moderator:
jamani teamukwelinauwazi wamem ripoti akafungiwa nini?mimi sijamuona leo jamani nimekasirika hatariiii...au kaniblock nini?lakini mimi hua sicomment zaidi ya kusoma tu,eti geniveros

sijajua ngoja niende ig
jana nimemuona alimueka mdada amerekodiwa uchi anacheza
 
Last edited by a moderator:

umeeleweka mkuu
 
yaani Mungu tu atuepushe mbaali na hao wauaji kwakweli, ila wapo wazuri kweli sema wa kubahatisha sanaaa

mi nilikaa na housegirl mmoja tu akaanza kupendeza kwao wakaja kumchukua akaenda kuolewa ndoa ikamshinda siku hyo kaja amekonda huyoo nikakaa na mdogo wangu sasa hv nae yuko shule since then niko mwenyewe ila kazi zangu namudu
 
nimepita huku nikakuta mnapoteza muda bila malipo
Ukachukua pc/sim,ukaperuziii ukakutana na huu uzi,ukasoma maudhui na comments!Ukawaza useme nini,ukajibiwa!Baada ya muda ukajibu tena!!Sasa nawewe huoni kuwa unajiunga katika kundi la wapoteza muda badala ya kuzalisha muda!!kipendacho roho hula nyama mbichi!!Karibu home!
 

good answer
 
Guys I am sorry...nirvana ni kesho jamani!uwiiiii Mdakuzi ataniua kwa furaha mimi hadi nasahau
Hahahahaa pole...
Jamani Mdakuzi kanifanyia boooonge la surprise.....what can I say?am in tears now!
Nashukuru wangu...
mnafanyana nn tena??? we Mdakuzi wewe nini wamfanya mtoto wa watu!
Hahahahaaa! Hamna kitu atoto
Ndio raha ya kuchaguwa The winning Team siyo unakaa na bunch of losers.
Kweli kabisa mkuu, usipochagua kizuri automatically unakuwa umechagua kibaya...
Sisemi mimi hadi Mdakuzi aniruhusu....
Hahahaaa! Wala sikuruhusu...
Unacheza na wazee wa box? Usikute ameshapewa control number asubuhi apitie western union kudraw kamzigo.
Hahahahaaaaa! Nimecheka sana...
Hakika,shukrani zikufikie Matola kwa kuanzisha hiki kitu,ningefurahi hivi lini?
Wakati wote nampongeza kwa ubunifu wake...
thi mthemeeee!! aaagrrr!!! mi ntalia ujue
Hahahaaaa, anafanya siri?
Hahahaaaaaa ni shiiidah hii
Hahahaaa kabisa...
Mhm! Msije mkawa mlikuwa mnafanya yenu na Mdakuzi via Skype!! Maana raha ni tafsiri paaaana.
Hahahahaaa hamna kitu mkuu...
chema weye kiadhi nkichema mie muhogo......, Mdakuzi naye bado ana hangover maana cmuoni huku
Duh! Hahahahaa una vituko wewe...
we endelea tu na raha zako hapana chezea Mdakuzi kakudakua kwelikweli, wewe hoiiiii

Nilikuwa napitia comments coz niliadimika sana. Basi nikawa nacheka peke yangu. Kiukweli nimefurahi sana kwa jinsi wenzangu nilivyokuwa mnanikumbuka. Ni namna familia ilivyojijenga kwa haraka na kuwa kitu kimoja.
Wakati wote nampongeza Matola kwa kuja na wazo hili ambalo limezidi kukua. Asante Kiba kwa kutukutanisha na Asante Matola kwa kujenga huu mkutano.
Ova
 
Last edited by a moderator:


yaani kweli nifah noma, yaani now ndio hangover imeisha!!
 
Last edited by a moderator:
haya mambo ya team fulani mnalipwa nini?

Jaribu kuwa makini unapokuwa unaunda swali hadharani, kwa sababu aina ya swali lako inakuonesha kiasi cha upeo wako. Kwa hiyo unaweza kufanya watu wakuweke kwenye daraja la chini kiuwezo wa kufikiri kama wengi wetu walivyokuona hapa.
Kushabikia mwanamuziki sio kupoteza muda, hata Rais wa Marekani, Barack Obama (Rais mwenye majukumu mengi) alimtaja hadharani Carly Rae Jepsen kama ndiye anayemshabikia kupitia wimbo wake wa Call Me Maybe.
Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…