Ali Kiba Fans' Special Thread...

Subiri jioni saa11, Escrow ni balaa linamgusa mpaka tezi dume na serikali ni lazima ianguke tena, na Laigwani mamvi kawapanga vijana wake ipasavyo wanashambulia kama nyuki.

Nikafikiri ndo imeisha wanataka kufanya uhuni wao Leo ni Leo mpaka kieleweke
 
Subiri jioni saa11, Escrow ni balaa linamgusa mpaka tezi dume na serikali ni lazima ianguke tena, na Laigwani mamvi kawapanga vijana wake ipasavyo wanashambulia kama nyuki.

Hili suala ni balaa,kila mtu atabeba msalaba wake,aisee
Hahahaaaa eti tezi dume
Jamani nilikua namuamini na kumpenda prof. Anna Tibaijuka sijui imekuwaje na yeye pia yumo,dah!
 
Umepotea sana,looh
Mimi pia nataka nihamie huko ila sasa hivi naona ni mambo ya maji na uvuvi,Escrow ikianza tu natia timu na mimi
Mbivu na mbichi kujulikana leo!Tusubiri saa 11jioni,pia tuwaombee vijana wetu wa kamati ya PAC ujasiri !
 
Mbivu na mbichi kujulikana leo!Tusubiri saa 11jioni,pia tuwaombee vijana wetu wa kamati ya PAC ujasiri !

Hili suala linaonekana kuna mgongano wa kimaslahi baina yenu,haiwezekani muwakane ndugu zenu hadharani vile!masikini mama yangu Tibaijuka....oooh
 
Hili suala ni balaa,kila mtu atabeba msalaba wake,aisee
Hahahaaaa eti tezi dume
Jamani nilikua namuamini na kumpenda prof. Anna Tibaijuka sijui imekuwaje na yeye pia yumo,dah!
'Usimuamini mwana siasa yeyote hata waupinzani'-Zitto Kabwe
Hata suala hili la escrow nashindwa kuwaamini hawa viumbe.....tusubiri
 
Aisee itabidi nijiandae kimchina changu kiwe full charge hata wakikata nitafuatilia hapa JF

Dah hilo nalo neno tena umenikumbusha na Mimi aisee ila hawa viumbe mafisadi wasije wakapenyeza hujuma bure
 
Msinisemee msinisemee hata kama napenda kula (sio escrow).....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…