Ali Kiba Fans' Special Thread...

Sasa kama ni your opinion si ungebaki nayo?umeyatoa ya nini?
Hayo mashairi ya nyimbo zote ulimpaga wewe hadi useme hana mashairi?
Achana naye huyo mshamba wa igulumuki!
Niliwaze mrembo kwa nyimbo za King....
 
Sasa kama ni your opinion si ungebaki nayo?umeyatoa ya nini?
Hayo mashairi ya nyimbo zote ulimpaga wewe hadi useme hana mashairi?

hahaha nilijua hii inaweza kutokea thats why nikaweka nb hayo ni maoni yangu kila mtu ana yake wapi nimesema hana mashairi re read my comment again nimesema kwa kipindi flani flani kama msanii amekosa mashairi hawezi kukurupuka kwenda studio
 
daah!
kanjibhai kaondoka ofsini anahofu escrow yaweza kumkumba....yaan wapendwa nawaza sijui itakuaje?
please mamii niliwaze na wimbo mzuri wa Ally Kiba coz nawaza kupigaa tena jalamba na bahasha mkononi!

Jamani nimekuoneaje huruma?usijali bwana...hiyo saa 11 mbona tz itasimama kwa mda!!!!
 
hahaaaaaaa!! niruhusini nicheke jamani, yaani kuna watu huwa wanaambizana wasije huku ila kila wakijibana ni km mkojo wa asubuhi hauzuiliki, wanajikuta washatia timu, wellcome home of gud music, Kiba weeee umeshika watu pabayaaaa
 
Kwendraaaa usijipendekeze kwangu ukija huku sina urafiki na wewe....sawa bibi eeh
 
Last edited by a moderator:
Sasa kama ni your opinion si ungebaki nayo?umeyatoa ya nini?
Hayo mashairi ya nyimbo zote ulimpaga wewe hadi useme hana mashairi?

hahaaaaa!!! watu wanaumia jamani kwa kipaji cha kiba hata wanashindwa waongee nn wanajikuta washaropoka hata ambavyo hawakutarajia
 
Achana naye huyo mshamba wa igulumuki!
Niliwaze mrembo kwa nyimbo za King....

ngoja nimsaidie mwaya,

ckatai kuwa waonyesha wivu ndio wenye mapenzi ya kweli kwa kiba, lkn pia uvumilivu na vitendo vya karaha viliwaumaa, mpaka wakajikuta wenyewe wakija kujazana kwa kibaa.....

kweli mapenzi yanarun dunia.. mapenzi yanarun duniaaa.....
feel free to fly with kibaaaa
wapi nifah
 
Last edited by a moderator:
stess mbaya ujue, huku ni stress free jamani sasa ameshindwa pa kupumulia ikabidi aje huku mtakuja kwa king wake, muonee tu huruma mwenzio mapenzi kwa kiba anayo sanaaa ila tu anashindwa namna ya kuyaexpress, sio kosa lake

Nkwei kabisa, kazi kweikwei.
 
umejuaje naupenda huo wimbo?thanks mamie
 
Jamani nimekuoneaje huruma?usijali bwana...hiyo saa 11 mbona tz itasimama kwa mda!!!!
yaan we acha tu mamii.....ni majanga juu ya majanga!anyway bora kanjibhai awajibishwe hata kama tutakosa kibarua......
 
hahaaaaaaa!! niruhusini nicheke jamani, yaani kuna watu huwa wanaambizana wasije huku ila kila wakijibana ni km mkojo wa asubuhi hauzuiliki, wanajikuta washatia timu, wellcome home of gud music, Kiba weeee umeshika watu pabayaaaa
Ally Kiba ni kama hewa ya OXYGEN.......
 
unajua mimi ni kaka yako afu huyu ni shemeji yakooooooooooooooo......................
 
Kwendraaaa usijipendekeze kwangu ukija huku sina urafiki na wewe....sawa bibi eeh

Kwi kwi kwi!!Paula kilaki shoga yangu yamekushuuuka shuuu kama ushuzi wa ngomaniii!!aibuuu!!boooooh booooh(zomea zomea ya Leaders)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…