Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Me niko ccm imani pamoja na jaji Sinde....ccm maslahi tunawachia wengine!
hahahaaaa umenifurahisha sana
ccm imani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me niko ccm imani pamoja na jaji Sinde....ccm maslahi tunawachia wengine!
sasa kama hana mashairi atatoa nini? mtu hakurupuki tu usingizini na kwenda studio ukiona kimya ujue hana mashairi
nb: msini attack that's my opinion
Achana naye huyo mshamba wa igulumuki!Sasa kama ni your opinion si ungebaki nayo?umeyatoa ya nini?
Hayo mashairi ya nyimbo zote ulimpaga wewe hadi useme hana mashairi?
Sasa kama ni your opinion si ungebaki nayo?umeyatoa ya nini?
Hayo mashairi ya nyimbo zote ulimpaga wewe hadi useme hana mashairi?
daah!
kanjibhai kaondoka ofsini anahofu escrow yaweza kumkumba....yaan wapendwa nawaza sijui itakuaje?
please mamii niliwaze na wimbo mzuri wa Ally Kiba coz nawaza kupigaa tena jalamba na bahasha mkononi!
hahahahaaa uuuwi hivi huku huwa mnaongeaga nini?? manake hakuna events yoyote mpya, lakini uzi unapaa tuu mnajua mmepanic vibaya?? tshet vipi zimetoka??? au ndio TATIZO VYOTA kila kitu kinabuma, kama tshet zimeshindikana kutoa kama video ilivyoshindikana embu jaribu basi kutoa MOKA kwikwikwikwiiiii nifah huhuhuhuhuuu njoo nisupport nimewapa wazo la kutoa moka, hihihihihiii nipigie makofi heheheheee, alafu zikitoka tuu pair ya kwanza unamchukulia baba watoto, hohohohoooo atakupendaje???
Sasa kama ni your opinion si ungebaki nayo?umeyatoa ya nini?
Hayo mashairi ya nyimbo zote ulimpaga wewe hadi useme hana mashairi?
Kwendraaaa usijipendekeze kwangu ukija huku sina urafiki na wewe....sawa bibi eeh
Achana naye huyo mshamba wa igulumuki!
Niliwaze mrembo kwa nyimbo za King....
stess mbaya ujue, huku ni stress free jamani sasa ameshindwa pa kupumulia ikabidi aje huku mtakuja kwa king wake, muonee tu huruma mwenzio mapenzi kwa kiba anayo sanaaa ila tu anashindwa namna ya kuyaexpress, sio kosa lake
umejuaje naupenda huo wimbo?thanks mamiengoja nimsaidie mwaya,
ckatai kuwa waonyesha wivu ndio wenye mapenzi ya kweli kwa kiba, lkn pia uvumilivu na vitendo vya karaha viliwaumaa, mpaka wakajikuta wenyewe wakija kujazana kwa kibaa.....
kweli mapenzi yanarun dunia.. mapenzi yanarun duniaaa.....
feel free to fly with kibaaaa
wapi nifah
yaan we acha tu mamii.....ni majanga juu ya majanga!anyway bora kanjibhai awajibishwe hata kama tutakosa kibarua......Jamani nimekuoneaje huruma?usijali bwana...hiyo saa 11 mbona tz itasimama kwa mda!!!!
Ally Kiba ni kama hewa ya OXYGEN.......hahaaaaaaa!! niruhusini nicheke jamani, yaani kuna watu huwa wanaambizana wasije huku ila kila wakijibana ni km mkojo wa asubuhi hauzuiliki, wanajikuta washatia timu, wellcome home of gud music, Kiba weeee umeshika watu pabayaaaa
Mkuu karibu katika jeshi la ukombozi.....Me niko ccm imani pamoja na jaji Sinde....ccm maslahi tunawachia wengine!
Matola ni Taasisi......Nakuaminia sana mkuu unatwanga kote kote si siasani,mmu na huku!big up sanaNkwei kabisa, kazi kweikwei.
Matola ni Taasisi......Nakuaminia sana mkuu unatwanga kote kote si siasani,mmu na huku!big up sana
Kwendraaaa usijipendekeze kwangu ukija huku sina urafiki na wewe....sawa bibi eeh