Ali Kiba Fans' Special Thread...

maji hayaachi asili hata yakichemka vipi, hawa watu asili yao ni fujo so ukiwajua walaaa hawakuumizi kichwa(they learned from the best), jamani nampenda Kiba zaidi ya ninavyoweza kueleza, hana chuki,hana dharau,mtaratibu,handtham,anajua kuimba,mtunzi bora......... the list goes on and on, so akirekebisha kasoro chache atakuwa bora zaidi
 
Uwiiii jamani atoto mbavu zangu mie

mi ninachotaka ulimwengu mzima ujue nakupendaa, na kama burudani ushanipa ndio maana nipo hapaaa(namaanisha kiba)
 
Last edited by a moderator:
Mlikuwa wapiiii?Honey faith,brenda 18,Mdakuzi,Nifah,mmetuachia jaka lakini jeshi la Kiba matata sana,mtu mmoja kwa ndondocha mia!!Ilikua raha sana kubishana na wehu!!

Uwiiii niliku miss hatariiii,nimefurahi kwa michamboz yakoz ya hajaz u know....hahahaass nimem miss Le Mutuz jamani sijui kampata wapi mbebez mwingine
 
Haha haaaa niko kwa Mange nasoma michambo,ajabu leo kaachia comments zinazomponda
 
Binadamu ni viumbe wa ajabu sana aisee
Yaani unatumia nguvu na akili mingi sana mkuu kujaribu kuupindisha ukweli?
Huo uelewa wako walahauwezi kubadili ukweli
 
Heheheeee mimi siku hizi nawapotezea tu,sina mda
 
mi ninachotaka ulimwengu mzima ujue nakupendaa, na kama burudani ushanipa ndio maana nipo hapaaa(namaanisha kiba)

Jamani!!!!kwa hiyo hunipendi mimi atoto
 
Last edited by a moderator:
Binadamu ni viumbe wa ajabu sana aisee
Yaani unatumia nguvu na akili mingi sana mkuu kujaribu kuupindisha ukweli?
Huo uelewa wako walahauwezi kubadili ukweli

Tuanze na wewe kama ajabu la kwanza la dunia...
Namsubiria Mdakuzi sijui atakujibu vipi
 
Last edited by a moderator:
Uwiiii niliku miss hatariiii,nimefurahi kwa michamboz yakoz ya hajaz u know....hahahaass nimem miss Le Mutuz jamani sijui kampata wapi mbebez mwingine
Ilikua kivumbiiii!!patashika nguo kuchanika!!Wanamaneno ya shombo za kitoto sana sasa haikua kazi u knw!!wakasema mmesusia uzi,nkawakumbusha kuwa mna majukumu mengi,hapa sio sehemu ya kulalia na kuamkia ni burudani tuu!!Gadem mburulaz hawaelewiiii!!
 
Nilitaka kumjibu yule le fisiz,chicken head basi tu nikampotezea...eti tumeususia uzi!Mimi nifah au mwingine?ni bora nisiingie JF milele kuliko kuususia uzi wa King Kiba wangu
 
Last edited by a moderator:
Za asubuhi jamani leo niko busy busy waungwana nna ugeni kidogo
 
Ilikua kivumbiiii!!patashika nguo kuchanika!!Wanamaneno ya shombo za kitoto sana sasa haikua kazi u knw!!wakasema mmesusia uzi,nkawakumbusha kuwa mna majukumu mengi,hapa sio sehemu ya kulalia na kuamkia ni burudani tuu!!Gadem mburulaz hawaelewiiii!!

achana nao mama, wapotezee tu, bora umerudi tujiburudishe na kusema na kiba wetu
 
Atoto una busara sana!Pokea juice ya nanasi hapo!Kiba ana ubora sana ila afanyie kazi kasoro zake zisizofichika!!wakambandikia maneno kwa picha(haaa!kicheko!),haachi mtu kitu hapaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…