Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Hhhhhaaaa kwanini mnatumia nguvu??
Hivi Kiba ana tuzo ngapii vilee CC Paula kilaki
kuwa na mashabiki wa kibongo ni kujiua njaa tu. wanataka muziki wa kununua kwenye vibanda vya "Tuna burn music hapa" ambavyo msanii hafaidiki navyo. ingekuwa angalau robo tu ya wale wanaomshabikia Kiba wananunua kazi zake kwa uhalali basi angefaidika sana. asipoligundua hili ataishia kwenye fiesta kumnufaisha Ruge wakati wenzake wenye akili wanatafuta masoko USA na Europe.
Tuzo hata 20% wa kimazichana kajaza begi.
Hivi unamjua msanii anayeongoza kwa mauzo kwenye mkito.com???au nyie ndio mnaonunua hizo nyimbo zake?jipange kabla ya kuja kuharisha hapa
Tuzo hata 20% wa kimazichana kajaza begi.
page ya 36 hii ujue ninatafuta mlichojadili kuhusu kiba sioni. kiba kazi unayo mdogo wangu unamashabiri vimeo sijapata kuona, ni bora mimi ninaekuchallenge mara mia elfu kwani lengo langu ni jema tuu mwisho wa siku na wewe utoke umfikie mondi hata kumpita ikibidi, ila sio umshushe ili wewe upande, kama lengo lako ndio hilo ni bora ufulie milele mimi nitakuanikia.
Ni wapi nilikosema nimetoa ushauri???oh my dia Paula hadi nakuonea huruma....
Nimesema hii thread ni maalum kwetu sisi mashabiki wa Kiba kujadili ni jinsi gani tutam support...hata hivyo bye...sitaki kubishana tena na wewe....you are too low to argue with me...
MTV EMA 2014 | 9.11.2014 | Glasgow | Vote
bonyeza link hiyo kumpigia dimond kwenye tuzo za MTV....................
heheeeeiyaaaaa! go back to topic nifah, mstari wa kwanza na wa pili tu unatosha alafu ndio urudi hapa kuja kuniambia hutoi ushauri upo hapa kujadili, kumbe muda woote umo humu ndani hujui maudhui ya thread ni nini??? embu nipisheee
Kweli hujaona ushauri waliotoa wadau wengine?au ni hadi niutoe mimi ndio uone ni ushauri???
Hahahaaaa
Habari mkuu el nino,unajua kama Juma Nature alikuwa msanii wa kwanza kugombania tuzo za MTV na wimbo wa mgambo, akokosa nauli ya kumpeleka Denmark kwenya tuzo hizo.
. Achana naye,anataka kukutoa kwenye mada ya msingi!anataka kiki
nakumbuka....
Utaonaje wakati unawaza negativity tu no positive mana topic yajieleza kabisa why using a lot of energy just to justify ua boss kizuri kinajiuza chenyewe yeye si famous why kutumia nguvu
Daaa hii thread ina vituko hadi raha! Raha zaidi kusoma michango!
Kule Mkito.com ndio mnatakiwa mshindane zaidi kununua nyimbo Za akina Alikiba na Diamond!
Fanyeni hivyo kuonesha mnawapenda kweli ...Naona wimbo wa Kiboko yangu Mwana FA feat Alikiba umepakuliwa hadi website iligoma! Mi napenda huu ushindani ukiendelea hivi tena kibiashara zaidi ili wasanii wanufaike!
Hhhhhaaaa kwanini mnatumia nguvu??
Hivi Kiba ana tuzo ngapii vilee CC Paula kilaki