Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hhhhhaaaa kwanini mnatumia nguvu??
Hivi Kiba ana tuzo ngapii vilee CC Paula kilaki

Na nyie kwanini mnatumia nguvu kwenye uzi wa kiba ka si munaumia after all uzi hausu tuzo kama ni tuzo Jide anazo nyingi nyie pia hamjakatazwa kumshabikia daimond tena mgeanzisha uzi wake ingekua vema ila hapa kuja kwa kiba kuna hidden agenda either lack of peace of mind you need to rest first sasa hapa naona mwaha ngaika why ????????? Hadi nimeshangaaa mhhhh
 
Last edited by a moderator:
kuwa na mashabiki wa kibongo ni kujiua njaa tu. wanataka muziki wa kununua kwenye vibanda vya "Tuna burn music hapa" ambavyo msanii hafaidiki navyo. ingekuwa angalau robo tu ya wale wanaomshabikia Kiba wananunua kazi zake kwa uhalali basi angefaidika sana. asipoligundua hili ataishia kwenye fiesta kumnufaisha Ruge wakati wenzake wenye akili wanatafuta masoko USA na Europe.

Hivi unamjua msanii anayeongoza kwa mauzo kwenye mkito.com???au nyie ndio mnaonunua hizo nyimbo zake?jipange kabla ya kuja kuharisha hapa
 
Hivi unamjua msanii anayeongoza kwa mauzo kwenye mkito.com???au nyie ndio mnaonunua hizo nyimbo zake?jipange kabla ya kuja kuharisha hapa

Hawaelewi hawa hoja nyepesi yaliyo tokea fiesta wana i blame clouds ilivo kuwa ina mbeba mkuki kwa nguruwe unaitwa mwingine akishangiliwa kosa maajabu haya loh
 
page ya 36 hii ujue ninatafuta mlichojadili kuhusu kiba sioni. kiba kazi unayo mdogo wangu unamashabiri vimeo sijapata kuona, ni bora mimi ninaekuchallenge mara mia elfu kwani lengo langu ni jema tuu mwisho wa siku na wewe utoke umfikie mondi hata kumpita ikibidi, ila sio umshushe ili wewe upande, kama lengo lako ndio hilo ni bora ufulie milele mimi nitakuanikia.

Dada yangu Paula, umepata taarifa ya mkito.com huko.
 
Ni wapi nilikosema nimetoa ushauri???oh my dia Paula hadi nakuonea huruma....
Nimesema hii thread ni maalum kwetu sisi mashabiki wa Kiba kujadili ni jinsi gani tutam support...hata hivyo bye...sitaki kubishana tena na wewe....you are too low to argue with me...

heheeeeiyaaaaa! go back to topic nifah, mstari wa kwanza na wa pili tu unatosha alafu ndio urudi hapa kuja kuniambia hutoi ushauri upo hapa kujadili, kumbe muda woote umo humu ndani hujui maudhui ya thread ni nini??? embu nipisheee
 
Hahahah wabongo wajanja sana wanataka kuuza tshirt na khanga kwa kutumia mgongo wa Ally kiba huku dimond akiwa ndo daraja...

najaribu kujiuliza kwanini hili wazo la Tshirt , khanga na Pampers za ally kiba limetoka sasa na sio zamani...

hawa mashabiki wa Ally kiba walikuwaga wapi wiki 2 zilizopita??...au ndo kamata fursa???

Via tumpigie dimond kura kwenye tuzo za Mtv E.M.Akupitia link hii MTV EMA 2014 | 9.11.2014 | Glasgow | Vote
 
heheeeeiyaaaaa! go back to topic nifah, mstari wa kwanza na wa pili tu unatosha alafu ndio urudi hapa kuja kuniambia hutoi ushauri upo hapa kujadili, kumbe muda woote umo humu ndani hujui maudhui ya thread ni nini??? embu nipisheee

ni jinsi gani mtamsupport kwa kuprint Tshirt ili mpate hela ...wazo zuri sana hili
 
Kweli hujaona ushauri waliotoa wadau wengine?au ni hadi niutoe mimi ndio uone ni ushauri???
Hahahaaaa

sio lazima utoe ushauri wewe mwaya, kwani tunajua kwenye msafara wa mamba kenge nao wamo, wee endelea kupiga apeche, japo sijaona hata huyo aliyetoa ushauri kwa huyu kiba sasa sijui wote ni kengeee???
 
Daaa hii thread ina vituko hadi raha! Raha zaidi kusoma michango!

Kule WWW.Mkito.com ndio mnatakiwa mshindane zaidi kununua nyimbo Za akina Alikiba na Diamond!
Fanyeni hivyo kuonesha mnawapenda kweli ...Naona wimbo wa Kiboko yangu Mwana FA feat Alikiba umepakuliwa hadi website iligoma! Mi napenda huu ushindani ukiendelea hivi tena kibiashara zaidi ili wasanii wanufaike!
 
Sijaingia hili jukwaa siku nyingi mno ila naomba kuuliza,,,,Hivi watu wanamchukia Diamond kwasababu gani?
Maana usikute mtu ana kacertificate kake, diploma sijui Degree afu mshahara wa laki3 hapo chuo kapigwa sana free P na lecture atoe ma SUP mwenzako hata form four haijui na katoboa maisha.
JEALOUS PEOPLE NEVER WIN!!
 
. Achana naye,anataka kukutoa kwenye mada ya msingi!anataka kiki

msinisingizie aaakuu nimtoe kwenye mada na mtu mwenyewe hata hajui mauthui ya mada ni yapi??? muulize lengo la mleta mada kama analijua, embu msinichekeshe
 
Utaonaje wakati unawaza negativity tu no positive mana topic yajieleza kabisa why using a lot of energy just to justify ua boss kizuri kinajiuza chenyewe yeye si famous why kutumia nguvu

the same question applies to you, kiba si anajua mziki kuliko mond?? why all this effort??? jipangeeeeeee
 
Daaa hii thread ina vituko hadi raha! Raha zaidi kusoma michango!

Kule Mkito.com ndio mnatakiwa mshindane zaidi kununua nyimbo Za akina Alikiba na Diamond!
Fanyeni hivyo kuonesha mnawapenda kweli ...Naona wimbo wa Kiboko yangu Mwana FA feat Alikiba umepakuliwa hadi website iligoma! Mi napenda huu ushindani ukiendelea hivi tena kibiashara zaidi ili wasanii wanufaike!

Hio ni kweli itawasaidia kufika sehemu pia kuwashauri haya malumbano yasio na kichwa wala mguu maneno mengi ushauri zero ndo unawapoteza ingekua vema kuwashindanisha kupata platform ya kufika juu.but majority ya teams ni ushabiki usio na tija sijui unamnufaishaje msanii umenena point ya maana
 
Hhhhhaaaa kwanini mnatumia nguvu??
Hivi Kiba ana tuzo ngapii vilee CC Paula kilaki

hivi BSS hakupewaga tuzo???? ooopss! sorry, kumbe BSS ni shindano la kusaka vipaji vya mziki??? nimechanganya madesa wangu, mimi nae sijui nilikuwa nawaza nini.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom