Naona watu wameanza kuattack mpaka maisha binafsi ya wenzao kisa tu wamemchagua Kiba!!
kiba is on his own level...nani kakuambia kiba anafanya music awe level moja na diamond?unajua cape town mpaka sasa kiba kakataa offer ngapi za show kisa hawajafika bei
Wewe toka mwaka 2011 mpaka leo hii bado ni senior member tu!!!!
Duh kweli IMEJIPOST!
ngoja waje team kiba
That lady sijui yupoje atii!!!
Yaani she's too much of negativity, quarrel-some....eeeiiish!!
Mi simjui nilikuwa nauliza tu
Yeye kila saa kulalamika chuki maneno kibao ni mtu mlalamishi ana matatizo ya kisaikolojia kila dakika anawaza vitu negative hili ni tatizo
Hahahaaaa achana naye yule mtetemekaji hata kuandika vizuri tu hawezi kwa roho yake mbaya
Hizi team wanaweza hata kupeana simu.
Yaani kuna watu wanamchukia kiba/diamond toka moyoni kabisa na Nina uhakika 99% ya hao wenyewe chuki hawajawahi kuonana na kiba or diamond.
Why umchukie mtu ambae hata hakujui?
Hanna mtu anazaliwa na chuki ila wanajifunza tu.
Hizi team mavi mavi za bongo ni janga kwa maendeleo ya muziki na maendeleo ya vijana wanaojituma.
Hivi huwezi kumpenda kiba bila kumchukia chibu? Na vice versa!!
matumbo
Yule binti ana matatizo na chuki sana,hii burudani tu anapatwa hadi pressure!!Nyaraka zake ndefu kama report ya escrow namwoneaga mpaka huruma,ila humu wanapapenda kumesheheni vichwa hatariiii!!Mie penda sana Avemaria!!
i will always love kibaaaaaa
Nampenda Kiba mpaka naumwa!!Hutaki kafie Magwepande!...nawapenda sana wapenzi wa Kiba nawaonea wivu kwa mambo mazuri yanayokuja!!
Jana nikawa naangalia miziki basi nikaona video ya Abdu Kiba ya kizunguzungu kumbe director alikua Ally Kiba bwana?basi nilisisimka balaa nikawakumbuka hatariiiiii
Niko hapa Jf nimejaa teleUwiiiiii nimem miss Kiba ngoja nimfuate instagram
Utakuwa wa ajabu kujibishana ma watu wanaokwenda beach wamejazana kwenye Coaster na mabendera sikukuu hadi sikukuu.