Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hahahaaaa, nifah umeniponza mwenzako, yaani niko na watu hapa nikasoma hii post yako nikacheka kwa sauti ya juu hadi wamenishangaa.
Ova

ngoja ninyamaze nsijesutwa mie na matarumbeta (kwi kwi kwiiiii)
 
Last edited by a moderator:
mie najua 'tununu,twambombo' tu

Haha haaaa niliwahi kua na rafiki mnyaki laiti ningejua!!!alafu na yeye yupo humu jf isijekua ndiye Mnyaki Dada? Hahahaaa ila yule mpole kama nini
 
Hahahaaa namshubiri tuone!
Ova

Bora na yeye anayefunguka hapa japo ana act utani ila nahisi anamaanisha...
Kuna watu nawajua nahisi huko PM kunawaka moto ni umbea kwa kwenda mbele...
 
Jamani tupieni more pics za Mfalme,jins alivo mashallaaa..(Nna mashaka wale wapita kimya watazitumia kujitia midole)...eee ndo nmesema ila tupieniii!
 
Wanapita kimya kimya siku izi...safi sana mkubwa akiongea mdogo nyamaza!Feel free to dancee!Feel free to dancee!
 
Wee Kiba wewe Kiba!Kipaji chako kimetuunganisha hapa JF hadi tumejitengenezea familia yetu....hahahaaa
Hii familia naipenda siku nisipoingia JF naumwa hooooi taabani!!!

Chezeya Kiba weweee!Ngoma moja watu wamepagawaaaa!!haa lazima tuungane maana kule sio kubarikiwa etiii!!
 
Bora na yeye anayefunguka hapa japo ana act utani ila nahisi anamaanisha...
Kuna watu nawajua nahisi huko PM kunawaka moto ni umbea kwa kwenda mbele...

Mmmnh! Kazi kwelikweli!
Ova
 
Wanapita kimya kimya siku izi...safi sana mkubwa akiongea mdogo nyamaza!Feel free to dancee!Feel free to dancee!

Feel free to love...feel free to love,mapenzi yanarun dunia aaaah
Uwiiii Kiba ni habari nyingine bwana
 
Jamani tupieni more pics za Mfalme,jins alivo mashallaaa..(Nna mashaka wale wapita kimya watazitumia kujitia midole)...eee ndo nmesema ila tupieniii!

Kuna picha iliwahi kuwekwa hapa JF ya Kiba na ndomo enzi hizoooo hajatoka!uwiiiiii utadhani mtu na house boy wake,najuuta kwa nini sikui save leo ningeiweka tucheke hadi basi
Please mwenye nayo aiweke jama
 
Bora na yeye anayefunguka hapa japo ana act utani ila nahisi anamaanisha...
Kuna watu nawajua nahisi huko PM kunawaka moto ni umbea kwa kwenda mbele...

kumbe hujaona!! afadhali!
 
Hahaaaa lakini kinaonekana kizuri hatariii...ijimbombo,twalipo sijui nini
Kha! geniveros anakijua hatariii

ndugu yangi nikijulie wapi mam weeee
kwetu full kiswahili kuzaliwa dar,kukulia dar shiida
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…