Ali Kiba Fans' Special Thread...

Wewe mwenye kazi umekuja hapa kukata viuno kutafuta nini?

Nipe kazi ya kukukojoza basi ndio naimudu sana maana inaonekana siku nyingi haujapigwa dushe, nitakunyonya mpaka mavi.

Msamehe mkuu, anatafuta kik kwa nguvu huyooo!
 

Heheheheeeeeee sitarajii kuona swali hilo likiulizwa tena labda kwa wenye akili za kwendea chooni tu!

mnyaki dada unanikosha kweli!
 
Last edited by a moderator:

Hahahha English English English, lol tuandkeni kiswahil tu watu wataelewa! bianca 18 njoo ujifunze English huku et she can't went. ... (sijaelewa ndyo mana naquote, so usije kwa vimatus cz hapa mahala pake)
 
Last edited by a moderator:
Heheheheeeeeee sitarajii kuona swali hilo likiulizwa tena labda kwa wenye akili za kwendea chooni tu!
mnyaki dada unanikosha kweli!

Haya wangu....... Ila kunavibaraka wake humu wanatumia nguvu kweli......... Wambieni hivi sisi tulisikia tu buuuuuuuuu!!!!! Buuuuuuuuu!!!!! Afu tukasikia kiba!! Kiba!! Kiba!!! Afu tukacheka tu wala hatumponda, afu Mimi siwezi kumwonea uwivu diamond wakati wakina Mr nice na FEROZ nawaona kitaa wanakopa tuvikombe twa kahawa.... Bora mondi angekua na vyeti ameviweka mabegani..... Lakini nae mwishowe ni kama hao niliowataja..... Au anacertificate ya kudate na girls tofauti????? Bora Mimi ata nikistafu serikali inanitambua na mafao itanipa jamani........ Lakini huyo ni kama wale kataeni mkubali.....
 
Last edited by a moderator:
Aisee mada inakimbia acha kabisa utafikiri inaunganishwa na nyingine.
Hapo ndio utajua mheshimiwa mfalme Kiba sio moto wa kuota kabisa, ni wa kukimbia ndio maana team ndomo wanakimbia na kupoteana na wengine wanakimbia hadi vivuli vyao.
Kwa raha zangu team kiba ngoja leo niongee kimombo na mtanisoma tu mwaka huu.
'U are running an endless race'

mwaka huu tutafahamiana tu.
 
Juzi juzi nlikutana vijana, eti wananuna kwamba mwenzao nshaoa!{mlitaka muendelee kubataika nae?!} Ujana maji ya moto utawakanda msipooa! Ally dume dume la mbegu! Ally mashallah ntazid kumwomba akulindie mashallah!
 
msinisingizie aaakuu nimtoe kwenye mada na mtu mwenyewe hata hajui mauthui ya mada ni yapi??? muulize lengo la mleta mada kama analijua, embu msinichekeshe
Mada huijui utang'ka nayo kupost kila baada ya dakika tatu!basi hujielewiii..
 
Ushauri wangu wa leo kwa mfalme,aanze rasmi mkakati yakinifu ya kujua jinsi ya kuliteka jukwaa kwa kuserebuka!,afanye mazoez ya chereography mauno yanachosha,ikiwezekana aajiri hata madansa,ajifunze pia walau kupiga chombo itamsaidi!love u sana,ingawa watu inawauma wakisikia sisi fans tunakutia moyo na tunakupenda!
 
Hahahha English English English, lol tuandkeni kiswahil tu watu wataelewa! bianca 18 njoo ujifunze English huku et she can't went. ... (sijaelewa ndyo mana naquote, so usije kwa vimatus cz hapa mahala pake)

Me huwa nawaangaliaga tu........kwani kiswahili huwa hakijitoshelezi??
 
Last edited by a moderator:
and they will die their eyes open.
Dada una roho nyeusi mpaka kuombeana vifo!unlike us,tunawaombea mashabiki wote wa ndomo na yeye mwenyewe maisha marefu yalojaa fanaka na afya tele!adui yako mwombee maisha ili aone mafanikio yako,huu ni ushabiki tu usitoe utu na upendo wetu kama binadamu!Ndo maana mnapoanza kutukana tunawadharau tu
 

kweli kabisa asibweteke tena aanze kazi afanye mziki kazi sio mapenzi,sio ubitozi...!!
afanye kweli kwenye game
 
kweli kabisa asibweteke tena aanze kazi afanye mziki kazi sio mapenzi,sio ubitozi...!!
afanye kweli kwenye game
Umeona ee,basi na sie mashabiki tuache kununua CD za kuburn na kurushiana tu nyimbo,tumuunge mkono kununua kazi zakeee atiii!Ushauri huu aliutoa mtu mwema kule juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…