Ali Kiba Fans' Special Thread...


Mhhh mbona ka una hasira kulikoni ushauri wako nini sasa calm down
 
Kiba ana uwezo wa juu kimuziki hilo halina upinzani!!Sasa the countdown inaanza nw mahsusi kwa ajili ya kungojea video bora ya mwaka!!Nadhani mnanielewa!!
 
Atoto!atoto kumbe kweli ukizika mbuzi inasaidia heee!!Offer accepted ahsante mganga wa ndomo jamaniii!


hahaaaa!!! yaani shogaa hata hukatai katai kidogo km mwenzio diva??? hahaaaaaa mie ngoja niendelee kunywa maji naona mvimbio unanihusu leo
 
Akuuu!!we hujaona offer ya kwenda Didi's!!haa bora nijipoze na ur my everything hapa!!

Kusema ukweli hii ndio best song yangu katika nyimbo za Kiba, huyu jamaa ni noumer.

Back to my offer angalia online ratiba ya movie nzuri weend hii halafu select timetable.

Wenye wivu wajinyonge najuwa yanapita hapa kimyakimya kama mabundi.
 
the guy is cuteeeeeeree jamani dooohhhh!!!
Kalaghabaho kuteleza si kuanguka
 
Last edited by a moderator:
Akuuu!!we hujaona offer ya kwenda Didi's!!haa bora nijipoze na ur my everything hapa!!

Ama kweli we bado mtoto. Hiyo offer ya kwenda Didi's akitokea Diva Beyonce le queen mwenyewe unadhani utaipata?? Thubutu

Matola anazuga tu hapa na mtindo wa sweet nothing, bado hajakabwa na wife wake.....uwiiiiii (kwani lala moko yumo siku hizi jamvini?)
 
Last edited by a moderator:

Hivi wewe umetumwa? Yaani maneno yote haya ili mradi uvuruge tu?
 
Last edited by a moderator:

Ndo Ugomvi Sasa Picha Halijaanza usha mtabiria sterlling Kifo
 
nimeona e-news kuwa kiba anatarajia kupiga mziki wa live na wasanii wengine(cwakumbuki) huko zanzibar, nafurahi ninaposikia anafanya mziki wa live maana haya macd inabidi aachane nayo sasa

Kama kawaida yake kukalisha akiwa jukwaani, safari hii hatawakalisha tu lazma awalalishe kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…