Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Ambako domo kapita mwaka juzi yeye anajaribu kupita leo! Nyimbo zite nzuri zile shooting alikua anafanya sokoni ilala na kikamera cha mchina! Ametuangusha sana mashabiki wake. Kwenda kote kule ulaya akili yake haijajifunza kitu? Acha tu yule bwwege diamond amnyanyase amezidi upuuzi!..
Mhhh mbona ka una hasira kulikoni ushauri wako nini sasa calm down