Ama kweli we bado mtoto. Hiyo offer ya kwenda Didi's akitokea Diva Beyonce le queen mwenyewe unadhani utaipata?? Thubutu
Matola anazuga tu hapa na mtindo wa sweet nothing, bado hajakabwa na wife wake.....uwiiiiii (kwani lala moko yumo siku hizi jamvini?)
sasa mwl we ubize unatoka wapi na wakat shule zimefungwa? au ndio mambo ya kuhudumia familia?
Aaaah mwalimu disemba hii likizo bhana au nawe wa kwako unawaandalia ada za chekechea?
Kule Ig team ndomo wanatukana matusi utadhani wameahidiwa mbingu!!
Kweli nimeamini mtu akikazana kukwambia we una chuki ujue ye ndo anayo mara mia yako!
Kiba wauweeeee mfalme wauweeee
Ambulance zipo za kutoshaaa!!!
Kama kawaida yake kukalisha akiwa jukwaani, safari hii hatawakalisha tu lazma awalalishe kabisa.
Hivi wewe umetumwa? Yaani maneno yote haya ili mradi uvuruge tu?
Haa wakati wa vigori huu Ave!!Naona nataka kupambanishwa na kubwa la mAadui Africa mashariki na kati!!Wee sikatai hata kwa kuzuga chance kama hizi mara moja moja!...(.mkuje kuniona ICU mwenzenu yakinikuta)Ama kweli we bado mtoto. Hiyo offer ya kwenda Didi's akitokea Diva Beyonce le queen mwenyewe unadhani utaipata?? Thubutu
Matola anazuga tu hapa na mtindo wa sweet nothing, bado hajakabwa na wife wake.....uwiiiiii (kwani lala moko yumo siku hizi jamvini?)
Mhuuu!!Sasa hapa nasubiri letamkozz by the way movie tutaenda tyuuu!(Mamaa weee naona nacheza na mzinga wa nyuki!)Kwani uongo? Hahah
Kama kawaida yake kukalisha akiwa jukwaani, safari hii hatawakalisha tu lazma awalalishe kabisa.
Lazima walaleee!!watatafutana nakwambia!!Teiiinaaa!!wamejiandaa kukosoa na roho zao za kutuhahahaaaaaa umeuaaaa....?!!!
hahaaa!! bora umemwambia mama, maana namuona tu anavyofurahia kuwa (by the way) nitafanyaje sasa!!! hahaaaaa! Ms.Lincoln kwahiyo wewe ndio kiraka cha matola? ngoja ije suruali mpya diva uone utavyotupwa

Jamani sisi wote ni Familia moja mbona tunaleteana majungu kiasi hiki? Wewe mwanzo umejifanya mtoto humu bado bikra sasa saa hizi unataka kuvuruga ya wenzako.
hahahaaaa....
shosti umejuaje soon ntawaletea bizness mniunge mkono humu jamvini
unajua nami nataka wanangu walau wajue kusema"the car is on the chair"maana huko primary skuli kwetu majanga matupu
Haa wakati wa vigori huu Ave!!Naona nataka kupambanishwa na kubwa la mAadui Africa mashariki na kati!!Wee sikatai hata kwa kuzuga chance kama hizi mara moja moja!...(.mkuje kuniona ICU mwenzenu yakinikuta)
Naona umedhamilia kabisa!!Kwani uongo? Hahah
Jiachie am the Man.Mhuuu!!Sasa hapa nasubiri letamkozz by the way movie tutaenda tyuuu!(Mamaa weee naona nacheza na mzinga wa nyuki!)
Mhuuu!!Sasa hapa nasubiri letamkozz by the way movie tutaenda tyuuu!(Mamaa weee naona nacheza na mzinga wa nyuki!)
Jamani sisi wote ni Familia moja mbona tunaleteana majungu kiasi hiki? Wewe mwanzo umejifanya mtoto humu bado bikra sasa saa hizi unataka kuvuruga ya wenzako.