Ali Kiba Fans' Special Thread...

Kama sio unafiki kilichokuleta kwenye special thread ya Ally Kiba fans ilhali wewe sie fan wake ni nini?
 
Mpwa huyo Sugu si hadi awe na hiyo number..................,

Sugu yupo na Mkoloni na ana connection zote za bongo Fleva industry hata kama hana namba ya Kiba akihitaji anatumiwa ndani ya dakika chache tu.
 
kama kimekuuma kuja kwenye hii thread take a chill pill.................

na naendelea kuwepo sibanduki asilani.....,
 
Kama sio unafiki kilichokuleta kwenye special thread ya Ally Kiba fans ilhali wewe sie fan wake ni nini?

Hahahahahah mpaka kieleweke diamond,kiba utazani wao ndio wasanii pekee nchi hii.
 
Na wewe kwa kimuhemuhe na kimbelefront hivi umekumbuka hata kuvaa chupi leo kweli?

Chupi hatuvaagi siku hiziii wewe bado demu wako anavaa tu! !!!!!:banghead:
 
Sugu yupo na Mkoloni na ana connection zote za bongo Fleva industry hata kama hana namba ya Kiba akihitaji anatumiwa ndani ya dakika chache tu.

Mdau kajitolea kukusaidia fasta umegoma...........,Mpwa shauri yako

sasa ulihangaika nini huko FB messenger ungemtumia Sugu FASTA
 
Kama sio unafiki kilichokuleta kwenye special thread ya Ally Kiba fans ilhali wewe sie fan wake ni nini?

Mbona nyie nyuzi za zinazomuhusu Daimond hatuwafukuzi na mnakua wa kwanza kupost khaaaa acheni hizoo ,tuache tujimwae mwaee
 
Hahahahahah mpaka kieleweke diamond,kiba utazani wao ndio wasanii pekee nchi hii.

na huyu Kiba amshukuru diamond maana bila lile genge la wahuni

kuzomea huyu King watu walishamsahau kama ana exist
 
Nahiv huyu paula hua hakubali kushindwaa ngoja aje cc Paula kilaki unaitwa na nifah
 
Last edited by a moderator:
Mdau kajitolea kukusaidia fasta umegoma...........,Mpwa shauri yako

sasa ulihangaika nini huko FB messenger ungemtumia Sugu FASTA

Mpwa nina sababu zangu nzuri tu kwa nini simtumii Sugu anipe namba ya huyu dogo, siwezi kuziweka wazi hapa. Ila nitaipata namba bila shida mimi ni mtoto wa mjini.
 
Mbona nyie nyuzi za zinazomuhusu Daimond hatuwafukuzi na mnakua wa kwanza kupost khaaaa acheni hizoo ,tuache tujimwae mwaee

Kuna special thread ya ndomo mliianzisha ukaniona???tulia bibi hii ngoma si yako acha kudandia gari kwa mbele...
 
Mpwa nina sababu zangu nzuri tu kwa nini simtumii Sugu anipe namba ya huyu dogo, siwezi kuziweka wazi hapa. Ila nitaipata namba bila shida mimi ni mtoto wa mjini.

Mpwa majibu yako yanajichanganya kama ya Siti Mtemvu vile...

T shirt zinatarajia kutoka lini vile I will buy one sina chuki na Kiba mie?????????????????????????????
 
Ndio ukubali kua wewe ni mnafiki...iniume kwani hii thread ni mume wangu???yeye peke yake ndiye anayeniumiza...tuliza kinyeo acha kujipendekeza...
 
Huyo roho nyeusi anasema nitakufa mdomo wazi,nadhani yeye ndo ibilisi,ila namshangaa!hawezi ushabiki hadi aweke mambo ya kutokwa uhai!!nimemsamehe paula kilaki bure,siku za uhai azidishiwe!,nampenda kiba na paula pia!Kwa kuondoa roho ya kwanini asikilize kimasomaso!Hafi mtu hapa!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…