Mbona wengine kwetu haifunguki? wee mtu usiyeonekana lete hicho kitu kwa njia nyingine basi
Msihangaike na huyu mtu mwacheni apite zake.
ID's zake huyu jamaa hizi hapa!
Ova
- Gracious 86
- AG Gracious
- Deogracious Kweka
- Gracious
- Gracious Gracious
- Gracious P
Mheshimiwa shabiki mabumunda....bado upo unakesha hapa JF
Utakuwa mvivu na jobless kama mwenzenu
Welcome to the winning boat...winning team
We rock in Africa....
Mtabaki na msanii wenu ovyooo na ushabiki mandazi wenu....
Shoga huyu mtu ni kichaa tumuache tu mwaya!
Umeona lundo la ids zake?
Ni sheeedah
Inaonekana mashabiki wa huyo msanini lofa mnapenda sana kugawa 0657......
Jamani hii tabia sio ya kitanzania
Muache...Mungu hapendi....
No wonder mnamshabikia Looser
Ni shida sana mnajitekenya na kucheka wenyewe....
Mashabiki wa kibla jitafakarini upya
Kuwa shabiki mabumunda kuna gharama yake
hatukutakiiiiii
kiba anashabikiwa na watu wanaojielewa
kumbe umekuja kwenye promooooo
hilooooo nenda kaogeeeee,hutakiwiiiii kwendaaaa
hatukutakiiiiiiio
hatukutakiiiiiiiii
hatukutakiiiiii tu sie
kiba hakutttttakiiiiiii
Shoga huyu mtu ni kichaa tumuache tu mwaya!
Umeona lundo la ids zake?
Ni sheeedah
hatumtakiiiii
hatuna shida na nuksi nuksi km hizii
hatumtakiiiiii
hatukutakiiiii@Gracious pliiiiz
get the hell out of our sight tokaaaaaaaaaa
Bwaha ha ha ha!!Geniveros umeniacha hooooi!!Ha ha ha!Nimecheka kila nikikuona unazomea zomea ha ha ha!!wewe afu hata hutumii nguvu nyingiiii!!umenitoa mafichoniiiii kuna mijitu mizima mitoto ilinikera ila kwa leo kula like like like!!hatumtakiiiii
hatuna shida na nuksi nuksi km hizii
hatumtakiiiiii
Maaaaaaaamamaamamamam
Yaaani wewe ni mmoja wa watu wanaojielewa kati ya mashabiki wa looser
Ndio maaaaaaana
Kumbe ndio maaaaana ana loose tu kila siku
Hivi katunga wimbo gani ule ulioishai kupigwa pale magomeniiiiii
Dah...hii ni laana kwa manamuziki kuwa na mashabiki kama ninyi....kama ni mimi ningejinyonga wallah
Hutaki nini kwa mfano binti?
Hivi huyo msanii wenu ashawahi kushinda hata tuzo za kilimanjaro ?
au za basata?
Bwaha ha ha ha!!Geniveros umeniacha hooooi!!Ha ha ha!Nimecheka kila nikikuona unazomea zomea ha ha ha!!wewe afu hata hutumii nguvu nyingiiii!!umenitoa mafichoniiiii kuna mijitu mizima mitoto ilinikera ila kwa leo kula like like like!!