Heheeee mapenzi ya siku hizi watu wanajaribu aisee,hakuna uhakika.
Mtu unaweza kumfanyia makubwa na akakucheat bila aibu wala huruma!
eeeh umenikumbusha jamani, kepesii hako hadi raha, uh hebu ngoja nirudi tena, hiki kitu hata sikichoki
Mwache tu awayewaye!
khaaaah!!! watu mbona wamepanik sana jamani, sie twampenda sana kiba na tunajua tunachofanya tena kwa akili zetu timamuuu, kama kumkosoa tushakosoa sanaaa na ujumbe ashaupata na kamwe hatutoacha ila anapofanya vzr sie roho kwatuuu na tunaomuelewa walaa hatupi taabu, basi imebaki burudani tuu, wameelimishwa wee hawataki kuelewa tena kwa makusudi sasa mwataka nn tena?? hebu fanyeni yenu msilazimishe mambo bwana! POP IT IN.....
Haha haaa,harusi ya mamilioni asubuhi watu hata kitafunwa hakuna!
Mimi sitaki hayo,kama pesa zipo sawa,ila sio pesa hazipo halafu mbwembwe kibao.....poleeee geniveros Matola alikuambia haya lakini
alinambia sema si unajua tena kisu kimegusa mfupa
Eti tunasifia ujinga,Kiba tunamharibu maana tunampa pressure ya kumuiga ndomo.
Watuwache jamani,tumeshampenda basi,nini shida?
alinambia sema si unajua tena kisu kimegusa mfupa
ujue wanaumia maana walihisi kiba hana fans, sasa kuona twaenjoy muziki mzuri kwa mkali wao baasi wanaumia hatari, wao waseme wao ndio wanampa pressure mtu wao mpaka hata anashindwa pa kutokea anaishia kuhaha na kuharibu tu, sie hatulipwi ili tumshabikie kiba, twamshabikia kwasababu twapenda vitu vizuri(mziki mzuri) and its obvious utaupata kwa kiba tu.
Hivi YouTube wamefika viewers wangapi hadi sasa?
Kiba anapendwa sana,hapa jamvini tu tukifanya hesabu tunawazidi wa ndomo.Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kuacha kumpenda Kiba kijana mstaarabu.
imefika 90+, kuna mtu alisema ikifika laki anajinyonga, hahahaaaaa ajiandae tu sie twamuandalia big-g na mti wa mpapai wa kujinyongea kabisaaaaa(kiroho safiiii) chezea kiba wewe, wasojitambua ndio wanahahaaaa, wapi Viol
Hii thread ya Kiba huwa inanipa amani hasa ninapokuwa sina amani naipenda saana hii thread kuliko nchi yangu ya Tanzania
Mwenzio nimetoka kuiangalia tena sasa hivi.Basi kuna rafiki yangu kaniona nilivyokua naiangalia akaniambia kapenda pale anavyoondoka hatariiii....Uwiiiii Kiba kaweka pozi la kufa mtu pale.
Bado tu watakufa wengi maana ile video waliyosema imetoka kabla ina viewers laki 5 ije kua hii official?
wanahahaaaa hatari, wanabaki kulinganisha masaa, nani asojua story behind the scin!!! eti kiba ndio basi tena, kasema nani labda(mwehu) ukimckiliza nawe wawa hivyohivyo, kiba nu tishio haswaaaaa ndio maana huwasikii wakimtaja mwingine utadhani tz msanii ni kiba tu(ila hii inaweza ikawa kweli eti,hahahaaa), Kibaaaa wauweee kabisa
😱😱:aiseeeeee
Mbona leo unashangaa sana?
Hii ni mara ya pili nakuona sasa