Ikifikisha hata viewers laki najiua...
imefika masaa kadhaa ifikishe viewers laki,tunasubiri ujiue rasmi.
c.c nifah atoto Abou Saydou Ms.Lincoln
Ungewatunza misuli ya kufichia matez dume yao
hahaaaa kuna watu wana roho mbayaa
Mwambie ataanguka ajioneshe tu
imefika masaa kadhaa ifikishe viewers laki,tunasubiri ujiue rasmi.
c.c nifah atoto Abou Saydou Ms.Lincoln
Acjiue aje nimgeuze Dada ili aishi kwa Mara ya pili
Tunasubiri Le Tamkooooz NkyaH
Mbona una kelele hivo we mbebezz.. Nimesema viewers laki kwani zimeshafika??
imefika masaa kadhaa ifikishe viewers laki,tunasubiri ujiue rasmi.
c.c nifah atoto Abou Saydou Ms.Lincoln
Nduki you tube kumuangalia mwana dar es salaam msinionee gere kama vp vaa miwan
hahaha halafu anatoa uchambuzi wake uchwara,alikurupuka kusema atajiua kiba akifikisha laki,leo leo inafika
Kuliko mbaya yenyewe
Mimi kuna siku mlini-abandone kama kikuku yani kuna mandondocha yalivamia hapa!!sikumwona nani wala nani!!ha ha ha!mpaka wakanambia unakomaa tuu wenzio wenye akili wamesusia uzi!!ha ha nkawaambia mpo bizi kuzisaka!!nlihenyeshwaje!!