Niko nyumbani wapendwa wala sijatoka kwenda popote na kesho pia nashinda nyumbani.
Niko nyumbani wapendwa wala sijatoka kwenda popote na kesho pia nashinda nyumbani.
Ucnitibulie cku mke wangu nitakupa taraka
Hiki ni kidume cha mbegu jombaa
gud leo nimeinjoy sana
mbona kimya sana mkuu???......super friday!boxing day....ha ha ha haaaaa!
mbona kimya sana mkuu????Karibu supu ndio naandaa mbuzi wa jana maksai alinona mno, asubuhi hii ni supu ya nguvu.
mbona kimya sana mkuu???
Habari ya asubuhi!
niko mitaa ya kitunda hapa napata kichuri.....
long time no seeWe vipi
......super friday!boxing day....ha ha ha haaaaa!
mbona kimya sana mkuu???
Nilikuwa nam quote mkuu Matola....cunajua tena mambo ya tecno!mmmh!! mbona wajiquote mwenyewe mkuu
long time no see
ha ha ha ha haaaa!Mbna m ckufahamu
Akuna anaenifahamu umuha ha ha ha haaaa!
mbona mie nakufahamu???
mie nakufaham kama shabiki wa kufa wa Ally Kiba......ndivo sivyo???Akuna anaenifahamu umu
mie nakufaham kama shabiki wa kufa wa Ally Kiba......ndivo sivyo???
UnazinguaNdio dogo