Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Ila ajiandae tu kwa hilo,nakwambia yule na demu wake wanavojua kuwalipa watu wa kutusi siku iyo atatukaniwa hadi babu na bibi yake!
Kwa kweli japo sina shombo ata mie jamani ntaomba jirani yangu anisaidie...nakupenda Ally K,toka nipo primary,ulinikera hapo kati ila nimekupenda upya kwa sababu wewe mpole sana!
Baambie hao uzi wa mwenzao wanaufuatilia sijui wataka nini siwaelewhi kabisa
Sasa nyie team ndomo mnaoleta shobo humu nawapa warning kama king Kiba akikubali kuungana huku JF na sisi mkivamia na maswali yenu ya kipumbavu sitowavumilia...sijawahi kupigwa ban lakini I swear for Kiba I will....
Kwa kweli japo sina shombo ata mie jamani ntaomba jirani yangu anisaidie...nakupenda Ally K,toka nipo primary,ulinikera hapo kati ila nimekupenda upya kwa sababu wewe mpole sana!
Shangaa wewe sasa, hapa Fans wa Kiba ndio tunataka liwe jukwaa letu la kupanga mikakati ya kumjenga zaidi na kumleta karibu zaidi na jamii na yeye kama ana cha kuwaeleza mashabiki atumie jukwaa hili maana wengine huwa hatuna muda wa kusikiliza vipindi vya redio vinavyoendeshwa na watu wajinga wajinga.

Kiba yupo wapi sasa jamanii
Hayakuhusu mimi ndio mratibu mkuu na mimi ndio nitaongea faida za yeye kuwa na verified ID hapa JF na awe anatowa breafing angalau mara 1 kila wiki.
Stay tune utanipenda tu mwaka huu, hapa hakuna wakurupukaji tunajitolea wenyewe kwa raha zetu.
Huu uzi umeanzishwa kiroho safiii mahsusi kwa Ally K ila nashangaa wanazi wa kitorondo wamebanwa na haja ghafla!!!!
View attachment 195416
Hizi level watu hawafiki kwa kubebwa bebwa, inahitajika bidii kujituma pia nidhamu.
Kiba atasubiri sana kufikia level hizi.!
Hayakuhusu mimi ndio mratibu mkuu na mimi ndio nitaongea faida za yeye kuwa na verified ID hapa JF na awe anatowa breafing angalau mara 1 kila wiki.
Stay tune utanipenda tu mwaka huu, hapa hakuna wakurupukaji tunajitolea wenyewe kwa raha zetu.
Sasa nyie team ndomo mnaoleta shobo humu nawapa warning kama king Kiba akikubali kuungana huku JF na sisi mkivamia na maswali yenu ya kipumbavu sitowavumilia...sijawahi kupigwa ban lakini I swear for Kiba I will....
View attachment 195416
Hizi level watu hawafiki kwa kubebwa bebwa, inahitajika bidii kujituma pia nidhamu.
Kiba atasubiri sana kufikia level hizi.!
hizi juhudi siyo bure nalizima mnalipwa nyie hahahaha but I like mnavyobishana