Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Ila ajiandae tu kwa hilo,nakwambia yule na demu wake wanavojua kuwalipa watu wa kutusi siku iyo atatukaniwa hadi babu na bibi yake!
Hata akiajiri sie tutawajibu kwa hoja tu wabaki na mitusi yao
