Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ila ajiandae tu kwa hilo,nakwambia yule na demu wake wanavojua kuwalipa watu wa kutusi siku iyo atatukaniwa hadi babu na bibi yake!

Nimeshakula kiapo jamani...najua tu watamvamia na hivi kaka wa watu mpole watamletea shobo zao za tandale,lazima wakae tu...
Au unasemaje miss Strong???
 
Last edited by a moderator:

Kwa kweli japo sina shombo ata mie jamani ntaomba jirani yangu anisaidie...nakupenda Ally K,toka nipo primary,ulinikera hapo kati ila nimekupenda upya kwa sababu wewe mpole sana!
 
Last edited by a moderator:
Baambie hao uzi wa mwenzao wanaufuatilia sijui wataka nini siwaelewhi kabisa

Shangaa wewe sasa, hapa Fans wa Kiba ndio tunataka liwe jukwaa letu la kupanga mikakati ya kumjenga zaidi na kumleta karibu zaidi na jamii na yeye kama ana cha kuwaeleza mashabiki atumie jukwaa hili maana wengine huwa hatuna muda wa kusikiliza vipindi vya redio vinavyoendeshwa na watu wajinga wajinga.
 
Sasa nyie team ndomo mnaoleta shobo humu nawapa warning kama king Kiba akikubali kuungana huku JF na sisi mkivamia na maswali yenu ya kipumbavu sitowavumilia...sijawahi kupigwa ban lakini I swear for Kiba I will....

Kiba yupo wapi sasa jamanii
 
Kwa kweli japo sina shombo ata mie jamani ntaomba jirani yangu anisaidie...nakupenda Ally K,toka nipo primary,ulinikera hapo kati ila nimekupenda upya kwa sababu wewe mpole sana!

Hahahaaaaaaa umenichekesha sana
 
Shangaa wewe sasa, hapa Fans wa Kiba ndio tunataka liwe jukwaa letu la kupanga mikakati ya kumjenga zaidi na kumleta karibu zaidi na jamii na yeye kama ana cha kuwaeleza mashabiki atumie jukwaa hili maana wengine huwa hatuna muda wa kusikiliza vipindi vya redio vinavyoendeshwa na watu wajinga wajinga.

We mbona kwenye nyuzi za domo ulikua wa kwanza kuingia, waambieni mods wafunge huu uz tusiwe na uwezo wa kuingia, muingie timu kiba tuu, halaaa
 
Shangaa wewe sasa, hapa Fans wa Kiba ndio tunataka liwe jukwaa letu la kupanga mikakati ya kumjenga zaidi na kumleta karibu zaidi na jamii na yeye kama ana cha kuwaeleza mashabiki atumie jukwaa hili maana wengine huwa hatuna muda wa kusikiliza vipindi vya redio vinavyoendeshwa na watu wajinga wajinga.

Ni kweli kabisa JF ni mtandao mkubwa wenye watu makini kama yeye (Kiba)
 
Hayakuhusu mimi ndio mratibu mkuu na mimi ndio nitaongea faida za yeye kuwa na verified ID hapa JF na awe anatowa breafing angalau mara 1 kila wiki.

Stay tune utanipenda tu mwaka huu, hapa hakuna wakurupukaji tunajitolea wenyewe kwa raha zetu.

Apia haki ya nani vile......
 
1413973018871.jpg

Hizi level watu hawafiki kwa kubebwa bebwa, inahitajika bidii kujituma pia nidhamu.

Kiba atasubiri sana kufikia level hizi.!
 
Huu uzi umeanzishwa kiroho safiii mahsusi kwa Ally K ila nashangaa wanazi wa kitorondo wamebanwa na haja ghafla!!!!

Wakibanwa na haja tuwaache tu,ila wakianza kuharisha tu....aiseeee patawaka moto
 
Hayakuhusu mimi ndio mratibu mkuu na mimi ndio nitaongea faida za yeye kuwa na verified ID hapa JF na awe anatowa breafing angalau mara 1 kila wiki.

Stay tune utanipenda tu mwaka huu, hapa hakuna wakurupukaji tunajitolea wenyewe kwa raha zetu.

Sipati picha ungekua upande wa ndomo ningehama JF jamani...watu wanaumwa na roho tunavyoji sacrifice kwa ajili ya Kiba!!!!
 
Sasa nyie team ndomo mnaoleta shobo humu nawapa warning kama king Kiba akikubali kuungana huku JF na sisi mkivamia na maswali yenu ya kipumbavu sitowavumilia...sijawahi kupigwa ban lakini I swear for Kiba I will....

hizi juhudi siyo bure nalizima mnalipwa nyie hahahaha but I like mnavyobishana
 
Back
Top Bottom