mnyaki dada
Senior Member
- Sep 6, 2014
- 105
- 61
Hahahaaaaa wanaoswali hawajitangazi bibi....swala ni jambo la siri...kiruuu unadhani ni nani ambaye haswali sasa???
Eti hutaki kupandisha joto la mwili kilichokuleta nini?ulitaka ligi umeona maji marefu unasingizia swala...kama wewe hamsa salawat si ungekua unajisomea zako Quran tukufu saa hizi????
Kwendraaaaaaaaaa na usirud tena baradhul wewe
umeona sasa sio sabun bana, ishaisha zamani unataka kuna mtu anatoa harufu
Unanikunaga ambapo mkono haufiki......
Tuna tofauti kubwa sana, wao wanasifu kuhonga na ukicheche, lakini sisi tunamsifu Kiba kwa uwezo wake kimuziki.
Hamtuelewi kwa sababu ya hii tofauti, labda muende kwenye jukwaa la mahusiano ndo mtapata wa kuelewana nao.
Ova
nauliza tu nimpelekee wolpa
Hahahaha!!! Hahahaha!! Kamfundishe mondi jinsi ya kuandika maana barua ya kuomba msamaha tena kwa jeshi ameanza na dear.. Duh???? Sijui itakuaje
Nimekuuliza wewe???kaa kimya ufuatilie mtanange sio kujipendekeza ili niujue uwepo wako haunisaidii
una hatari wewe....
GRAN PA uko wapi? Unajua wakoloni waliona mbali sana, walitaka watu weusi wasijue kusoma wala kuandika, wao kazi yao ni kula mikwaju tu na kulima kutwa nzima. Waliyajua yote haya, watu weusi wakijua kusoma na kuandika tu kosa. Kutwa kuandika utumbo tu.
Nifah na mimi umenigeuka jamani?haya ngoja ntulie nfuatilie mpambano
Hahahaaaaa ujue nimeshangaa sana sijakuona kwenye hii thread tokea juzi???haya karibu unasemaje?
Nikuonye kama wewe ni shabiki wa ndomo Hakika hapa sio sehemu sahihi kwako....
Hahahaha!!! Hahahaha!! Kamfundishe mondi jinsi ya kuandika maana barua ya kuomba msamaha tena kwa jeshi ameanza na dear.. Duh???? Sijui itakuaje
Tatizo wewe nawe hueleweki mara mguu nje mguu ndani...wakija maadui unaungana nao wakiondoka unajidai mwenzetu.....
Ha ha ha ha atakua aliteleza tu ukichangia na panic ya fiesta na kuitwa na wajeda mchezo
Tatizo wewe nawe hueleweki mara mguu nje mguu ndani...wakija maadui unaungana nao wakiondoka unajidai mwenzetu.....
Sipati picha saizi alivyo nahisi anatoa macho kama tax driver aliyekosa abiria......... Noma sana
We unatumia energy sana kwenye mambo kama haya, kila kitu unakichukulia personal sana humu. Mi sishabikii ujinga, lakini napenda sana muziki na hiyo bongo fleva nasikiliza sometimes tu.
Tatzo me ctaki tupoteze time kuzungumza juu ya diamond,kurushiana maneno,basi nakunywa maji ya bendera sasa hivi nami ntaanza kuporomosha