Huu uzi mrefu sijasoma wote,nimesema mkito nkimaanisha downloads ziko juu za ally k mpaka mtandao ulibuma mbna unantoa kafara binti wee😱
Hahahaha!!! Hahahaha!! Kamfundishe mondi jinsi ya kuandika maana barua ya kuomba msamaha tena kwa jeshi ameanza na dear.. Duh???? Sijui itakuaje
Hujaona nimemquote zaidi ya mara 4 akaja kukulilia oooh nimekuquote wewe nashangaa watu wananiquote....mwanamke kujiamini bwana ukija na baiskeli ya mti unatulizwa unapewa japo phoenix....hahahaaaaa
Sina mudaaa shoga angu, Kisa cha kupandisha joto la mwili nini? Ali Kiba? Diamond? Hahahaaaaaa......
Ngoja nikasali mieee...Shoga muda wa Sala...
nauliza tu nimpelekee wolpa
Usiumeume maneno...tokea jana nakuona mienendo yako unadhani sikuoni unayoyafanya?pale ulitaka kunitoa kwenye mood ili nishambuliwe ufurahi....siwezi kukutoa kafara wewe kifaranga nataka yanayojiita majogoo na mitetea
Tatizo unajua maana moja kama kushusha gogo
Kwani wewe unashushi mdomoni..???? Ni starehe ile jifanye hujui
Karibu juice..
Laiti ungekua ninavyorelax!!!nitumie energy kwenye suala rahisi kama hili je panapohitaji nguvu nitatumia nini???
Kama haushabikii ujinga huyo mwenzio ulikua unamuita aje kufanya nini???
Nifah kale basii au umefunga wiki nzima
Agiza basi Novida yaan hupumzikiii
Hivi unanishauri nini?wakija watu kutuchefua humu niwaache tuu??hebu nipe maoni yako....wala usijilazimishe...hii kitu inahitaji nature
Jaribu kutafuta novels na majarida mengine uwe unasoma soma au unaweza kuangalia sports vile vile. Au kuna vitu vingi tu vya kupunguza stress kwa mfano mazoezi au matembezi ya hapa na pale, we kisirani tu kutwa nzima! Mtoto wa kike sometimes unatakiwa utabasam.
Nile kila saa mimi kuku???ndio nyie mnaoendekeza kula mwisho wa siku mnahangaika na diet+gym....niliingia humu saa 8 ujue,nilishakula zamaaaani
Mbona umepotea?ulikua unateta nini huko PM???uwiiiiiii
Nakunywa fresh juice sitaki sumu...
Mtu akitukana ukanyamaza inawezekana,anaetukana anataka akutoe nje ya mada na ukitoka ni ushindi kwake,
Tutete pm nini nililala kidogo we si humu umepageuza ndani mwako
Nitajaribu basi ...ila uvumilivu ukinishinda.........moto lazima uwake
Ukiwasha sasa hivi ntaleta kuni na mimi,mbona hawaji leo?:sly: