Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

We uliona wapi mwanaume anapewa ofa ya holiday na mwanaume mwenzake alafu anachekelea Kama si mchele. Eti jembe ni jembe kampeleka kisiwani chacha kupumzika kwa nae anasifia. Je Kama alienda kutiwa midole?? Wanaume wenyewe wa mjini hata hawaaminiki siku hizi kwa kuwala wanaume wenzao

Jamaa lenyew limekomaa, lina mabaka kama nguruwe mwenye mimba, silipendag kujifanya super star. Halafu anavyopenda kujipendekeza kwa wakubwa na waheshimiwa eti anajifanya anatafuta fursa na network sijui ameambiwa wale ni mitandao ya simu, mfyuu
 
Unae fikilia kuwa fiesta ndo itamfanya huyo kiba wako awe kama diamond utasubili sana labda huyo kiba wako aombe tena Al- Kelly amwite kwenye wimbo mwingine wa maombolezo lasivyo atabaki na kelele za walevi wa fiesta

Hebu na wewe kwendraaaa huko tandale...umeandika nini sasa???Al-kelly ndio nani???au ni kiongozi mpya wa Al-shabab...
 
Basi nisaidie kuwaita wambea wenzetu, leo usiku ni usiku wa heka heka, THE RETURN OF warumi itakuwa ni shidaaaaa!!!!!

Hahahaaaaa,aiseee leo sichezi mbali kabisa....Mimi pia nitawaita
 
Last edited by a moderator:
Upuuzi mtupu

Huyo kibabu zama zake zimepita asitarajie kurud zama na nakshi nakshi,njiwa,Cinderela,one8,ndo yupo omega hvo ajiandalie mafao tu sio kuanza shindana na mdogo ake,,,ona sasa upowenyeewe tu kuku ww,mwambie kule kwa GT wtu hawafagilii upuuuzi,kama ww mwanamzik fanya muzik mzur wakusupport sio pila majungu tu,poor AliKiba

King? Ujinga mzigo.

Hii ni thread ya mashabiki wa Alikiba. Nyie mnahusikaje hapa?
 
Hebu tuondolee mav.i haya!
Huu uzi ni mahususi kwa mfalme Kiba tu!

The king himself is back, dah aiseeeh , si wanasema tulikodishiwa ma coaster tukazomee? Sasa ivi tutakidi helicopter kabisa tuwatupie mabomu manina zao, wakiona mfalme kiba anapiga show sehem ndomo akae mbali akashindane na wacheza viduku wake uko tandale
 
Jamaa lenyew limekomaa, lina mabaka kama nguruwe mwenye mimba, silipendag kujifanya super star. Halafu anavyopenda kujipendekeza kwa wakubwa na waheshimiwa eti anajifanya anatafuta fursa na network sijui ameambiwa wale ni mitandao ya simu, mfyuu

Hahahaaaa uwiiiiiiiiii
 
nilikua busy team kiba hapa ngoja nianze kufatilia sasa
 
hivi R kelly alikataa kupiga nae picha hahahahahahah

unapomuita mfalme uspecify ni mfalme wa nini, usikute ni mrithi wa mzee yusuph katika masuala ya Taarab

Wewe ni best loser nimekupenda, tusaidie kuhesabu page tupo page ya ngapi?
 
Unae fikilia kuwa fiesta ndo itamfanya huyo kiba wako awe kama diamond utasubili sana labda huyo kiba wako aombe tena Al- Kelly amwite kwenye wimbo mwingine wa maombolezo lasivyo atabaki na kelele za walevi wa fiesta

Wewe Mwasipenjele huyo Al- Kelly ndio nani?
 
Mtasandaaa nyie si mnajua kushangilia majukwaani kazi mnayo c mnafikili kuwa mzuri wa sule na urembo ndo kuwa na uwezo wa kufanya jambo mwambie jamaa yenu aongeze kujirembe aone kama atafika popote huyo kiba ni wa mikoani tu basiiiii
 
Jamaa lenyew limekomaa, lina mabaka kama nguruwe mwenye mimba, silipendag kujifanya super star. Halafu anavyopenda kujipendekeza kwa wakubwa na waheshimiwa eti anajifanya anatafuta fursa na network sijui ameambiwa wale ni mitandao ya simu, mfyuu

Kujipendekeza nako ni wito. Mimi vile siwezi kabisa
 
Mtasandaaa nyie si mnajua kushangilia majukwaani kazi mnayo c mnafikili kuwa mzuri wa sule na urembo ndo kuwa na uwezo wa kufanya jambo mwambie jamaa yenu aongeze kujirembe aone kama atafika popote huyo kiba ni wa mikoani tu basiiiii

Mwasipenjele hiyo sule ndio nini?
 
Mtasandaaa nyie si mnajua kushangilia majukwaani kazi mnayo c mnafikili kuwa mzuri wa sule na urembo ndo kuwa na uwezo wa kufanya jambo mwambie jamaa yenu aongeze kujirembe aone kama atafika popote huyo kiba ni wa mikoani tu basiiiii
Mkuu sule, kujirembe ndio nini? Tuliza munkari kidogo ili uandike ueleweke
 
Et mwana dar es slam na hvi huyo jamaa yenu amekuwa mzalamo toka lini kwann asijiite mwana kigoma au ndo utumwa wa kukukana uliko toka
 
Back
Top Bottom